
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amesema kutupwa ushahidi wao na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ni kupoteza sifa na imani kwa wananchi.
Amesema uamuzi huo unatoa sura ya matabaka kwamba kuna watu ambao wanafikishwa mbele ya vyombo vya sheria na wengine hawastahili.
Takukuru kupitia msemaji wake, Musa Misalaba jana Jumapili Desemba...