Home »
Burudani
» Ambe Lulu Awatolea Povu Wanaomsema Prezzo "Usimfananishe Mume Wangu (Prezzo) na Young Dee".
Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu amedai mpenzi wake Prezzo asifananishwe na Young Dee.Amber Lulu amesema hao ni watu wawili tofauti hivyo kuwafaninisha ni kumkosea heshima Prezzo.“Usimfananishe mume wangu na watu wengine kwa sababu unakuwa unamkosea adabu, kwa hiyo Young Dee ni Prezzo usiwakee kabisa pamoja kwa sababu ni watu wawili ambao hawezi kuendana hata kidogo,” Amber Lulu ameiambia Bongo5.Pia Amber Lulu ameongeza kuwa mara baada ya kuachana na Young Dee hata tattoo yake aliyokuwa ameichora mkononi aliifuta kwani aliiweka kwa muda tu.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Baada ya Babu Seya na Mwanaye Kwenda Ikulu Mjadala Mkali Waibuka.
Inawezekana ilikuwa ni nia njema kwenda kumshuku Rais kwa kumpa msamaha
uliomuepusha na kifungo cha maisha, lakini kitendo hicho cha Nguza
Mbangu Viking na wanawe kimepokelewa kwa hisia tofauti.
Nguza, ambaye ni mtunzi w… Read More
Penny Afunguka Kuwa na Gundu la Ndoa kwa Mwaka 2017.
MTANGAZAJI wa Runinga ya Magic Swahili kupitia kipindi cha Harusi Yetu,
Penniel Mungilwa ‘Penny’amefunguka kuwa, kuna uwezekano alikuwa na gundu
la kutoolewa mwaka 2017 lakini anaamini mwaka huu, 2018 ataolewa kwa
uwezo … Read More
Sherehe ya Kuchumbiwa Wolper Balaa..... Muoaji Afanya Kufuru ya Aina Yake.
SHEREHE ya kuchumbiwa kwa Staa wa sinema za Kibongo na Malkia wa Mavazi,
Jacqueline Wolper imezua gumzo la aina yake baada ya muoaji kufanya
kufuru ya aina yake, Amani linaripoti habari hii kwa mara ya kwanza
(exclusive)… Read More
Lucy Kombaa Kumzalia Mtoto Mzungu Wake.
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye kipindi cha nyuma aliweka
ngumu kumzalia mzungu wake, sasa anadaiwa kuwa kwenye mkakati mzito wa
kusaka mtoto baada ya mwanaume huyo na familia yake kuchachamaa azae.
Akizungumza… Read More
Rose Muhando Atangaza Kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Msanii wa nyimbo za Injili aliyetamba kwa vibao vyake murua na vyenye kuburudisha Rose Muhando, ametangaza kujunga rasmi na Chama cha Mapinduzi.
Msanii huyo ambaye aliomba kujiunga na chama hicho amekabidhiwa kadi ya Ch… Read More
0 comments:
Post a Comment