Home »
Burudani
» Shilole Harusi Yangu Ipo Pale Pale Mwezi Huu.
Zikiwa zimesalia siku kadhaa mwaka 2017 kumalizika, msanii Shilole amezidi kusisitiza azma yake ya kufunga ndoa kwa mwaka huu ipo pale pale.Mwishoni mwa weendend iliyomalizika katika sherehe ya ndoa ya Dj wa Clouds Media, Dj Zero shilole katika kutoa nasaha zake alisema mwezi huu atafunga ndoa.Pia hivi karibuni kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Shilole alimweleza msanii wa filamu Bongo, Steven Nyerere kuwa harusi yake ipo pale pale.Shilole ambaye yupo katika mahusiano na mpenzie, Uchebe hivi karibuni walioneka wakiwa wote Igonga, Tabora nyumbani kwa kina Shilole. July Mwaka huu ndio Shilole alimuweka wazi mpenzi wake huyo na kueleza mwaka watafunga ndoa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#BURUDANI>>>>TETESI za Bifu Kati ya Raymond na Harmonize Kutoka WCB, Meneja Wao Asema Haya.Fahamu zaidi hapa.
Meneja anayewasimamia wasanii wa WCB wakiwemo Harmonize na Raymond,
Ricardo Momo, amekanusha tetesi kuwa mafahari hao wamekuwa wakivimbiana
na kwamba kila mmoja anajiona bora.
Akiongea na mtangazaji wa kipindi cha Supa M… Read More
#BURUDANI>>>>>>Mwanamuziki Trey Songz Ambeep Juma Jux Kwa Kumuita Vanessa Mdee 'Baby'.Fahamu zaidi hapa.
Akisifika kama bingwa wa nyimbo za kutafutia watoto chumbani na pia
akiwa na mashabiki wengi zaidi wa kike, Trey Songz akimuita mpenzi wako
‘baby’ ni lazima moyo ukudunde!
Muimbaji huyo wa ‘Nana’ yupo Nairobi, Kenya alik… Read More
#BURUDANI>>>>>Orodha ya Wasanii Watakaowania Tuzo za MTV MAMA 2016, Navykenzo, Diamond na Alikiba Ndani.Fahamu zaidi hapa.
Orodha
ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA 2016, Jumamosi ya Oktoba 22
kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome, Afrika Kusini imetoka – kuna vipengele
tisa. Tanzania inawakilishwa na Alikiba, Diamond na Navy Kenzo.
Hii ni … Read More
#BURUDANI>>>>ZARI Amuumbua Hamisa Mobetto, Aanika Live Uchafu Wake na Diamond.Fahamu zaidi hapa.
Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja
model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita
huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi mwenzie ,ambaye
pia ni mpe… Read More
#BURUDANI>>>>Davido Achekelea Nyimbo yake Kutumika Katika Movie Huko Marekani.Fahamu zaidi hapa.
Msanii David Adeleke Adedeji ameonesha furaha ya hali ya juu baada ya
kuisikia nyimbo yake ya Skelewu ikichezwa katika movie kubwa huko
Hollywood Marekani iitwayo Qween of Katwe
Katika movie hii pia yupo mkenya aliyewe… Read More
0 comments:
Post a Comment