Home »
Burudani
» Video ya utupu ya Nandy na Bill Nass yawawekea uzibe Harmonize na Diamond Platnumz.
Kwa wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania, hususani kwa wale ambao wanamfuatilia Diamond Platnumz utagundua kuwa jana Aprili 12, 2018 aliahidi kuachia video ya wimbo wa ‘Kwa ngwaru’ ambayo amemshirikishwa na Harmonize lakini mpaka sasa hivi hakuna chochote kile walichofanya.Diamond kupitia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii jana aliahidi kuachia video ya Kwa ngwaru kwa kuahidi kuwa endapo angepata maoni (Comments) 10,000 kwenye posti yake aliyochapisha kwenye mtandao wa instagram, basi wangeachia video ya wimbo huo ambao umetokea kupendwa sana na mashabiki wa wakali hao lakini posti hiyo hadi sasa imefikisha comments elfu 13 na video hiyo bado haija achiwa.Hii haina ubishi kuwa video ya utupu ya Nandy na Bill Nass imepoteza attention kwa mashabiki wengi wa muziki nchini Tanzania kutokana na ukubwa wa wasanii hao ambao kila Mtanzania alikuwa anaamini kuwa ndio zao jipya la wasanii wa kizazi kipya.Hata hivyo, mpaka sasa hivi si Diamond wala Harmonize aliyetoa kauli yoyote ile kuhusiana na kuachia video hiyo ingawaje mashabiki wengi walitazamia kuona video hiyo kwa siku ya jana.Kwa mujibu wa maelezo ya Nandy na Bill Nass kuhusu video yao ya utupu iliyovuja siku ya jana hadi sasa bado haijajulikana ni nani aliyevujisha kwani wamekuwa wakitupiana lawama kila mmoja.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Adam Juma asema hana mpango wa kushoot tena video chini Afrika kusini.Fahamu zaidi hapa.Rich Mavoko, Ommy Dimpoz, Cpwaa, Q-Chief, Chege na Temba ni miongoni
mwa wasanii waliowahi kusafiri na muongozaji wa video, Adam Juma kwenda
kufanya video zao Afrika Kusini.
Na sasa huenda ndoto ya wasanii wengine wenye n… Read More
Watu hawajui kuna picha tunazo za Diamond na Ali Kiba wakiwa studio – Babu Tale.Fahamu zaidi hapa. Mmoja kati ya viongozi wa juu wa label ya ‘WCB’, Babu Tale amesema
watu hawajui kama Ali Kiba na Diamond wakikutana wanazungumza kama
kawaida.
Amesema hayo baada ya weekend hii kuzagaa picha katika mitandao ya
kijamii in… Read More
Huu ni uthibitisho kutoka kwa Babu Tale kuwa Chidy Benz kajiunga Rasmi WCB..Fahamu zaidi hapa.Inawezekana sana kuwa Chidi Benz amejiunga rasmi na lebo ya WCB, hii inatokana na Meneja wa Babu Tale kuandika Maneno yanayothibitisha kuwa Chidy Benzi sasa yuko kwenye himaya hii yenye nguvu katika Muziki wa Tanzania.
&nb… Read More
Picha: Mke wa H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua mtoto wa tatu.Mke wa msanii wa muziki H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua hivi karibuni na kuipatia familia yake mtoto wa tatu.
Flora Mvungi akiwa hospitali
Wana ndoa hao wenye watoto wawili, Tanzanite na Africa, wameshare
picha… Read More
Flora Mvungi alidanganya kuwa ana mimba au mimba iliyeyuka?...Fahamu zaidi hapa.Baada ya H.Baba na mke wake Flora Mvungi kuweka wazi mapema mwaka huu kwamba wanatarajia kupata mtoto watatu,
hivi karibuni Frola Mvungi ameonekana katika picha hana ujauzito hali
ambayo imewafanya mashabiki wake katika mi… Read More
0 comments:
Post a Comment