Home »
Michezo
» Yondani, Chirwa, Tshishimbi Wapigwa Stop na CAF.
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa taarifa kwa klabu za Yanga na Wolaitta Dicha SC ya Ethiopia ambayo imesema wachezaji wanne wa Yanga na wawili wa Wolaitta hawatacheza katika mechi kati ya timu hizo ambayo itachezwa mwishoni mwa juma hili kutokana na kuonyeshwa kadi mbili za njano katika michezo iliyopita baina ya timu hizo.Wachezaji wa Yanga watakaohusika ni Kelvin Yondani, Obrey Chirwa, Papy Tshishimbi na Said Juma, ambapo kwa upande wa Wolaitta ni Teklu Tafese na Eshetu Mena.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Wenger: Bado Nipo Nipo Sana,Kusemwa Nimeshazoea..!!!..Fahamu zaidi hapa.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa ataendelea kufundisha
soka kwa msimu ujao, kwenye klabu hiyo hiyo, au mahala pengine.
Wenger, mwenye umri wa miaka 67, amekuwa na wiki ya aibu baada ya
timu yake kuch… Read More
Duh..Noma Sana ...Kocha Afukuzwa kwa Kukataa Kuroga..!!!.Fahamu zaidi hapa.
KOCHA wa timu ya Mzimuni FC ya Sarawak mkoani Pwani, Ally Yusuf
‘Ostadh’, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya
kutimuliwa kikosini kisa kikitajwa ni kukataa kukubali kuroga kabla ya
mechi.
Ostadh amba… Read More
Sunzu ajiunga Arsenal.Fahamu zaidi hapa.
Beki wa Zambia ‘Chipolopolo’, Stoppila Sunzu amesaini mkataba wa
miezi mitano wa kuichezea klabu ya Arsenal Tula inayoshiriki Ligi Kuu
Russia.
Taarifa zinasema kuwa Sunzu, ambaye ni mchezo wa Lille ya Ufaransa, amesai… Read More
Suala la Mo Dewji Kukabidhiwa Simba Lafikia Hatua Hii...!!!.Fahamu zaidi hapa.
SUALA la mfanyabiashara maarufu ndani na nje ya nchi, Mohamed Dewji
(Mo), kukabidhiwa Simba limefikia patamu baada ya viongozi wa matawi
kuutaka uongozi kupeleka mapendekezo ya mchakato huo baraza la wadhamini
la klabu … Read More
YANGA HAMJAFANYA UUNGWANA KATIKA KIFO CHA MCHEZAJI WENU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
WIKI HII KUMETOKEA MSIBA MZITO KATIKA TASNIA YA SOKA HAPA NCHINI BAADA
YA KUFARIKI MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA TAIFA STARS MAREHEMU GODFREY
BONNY (NDANJE).NI MSIBA ULIO WAGUSA WAPENZI WENGI WA SOKA HAPA NCHINI.
MARE… Read More
0 comments:
Post a Comment