Hayo yameelezwa leo Bungeni mjini Dodoma, na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Dkt Medred Kalemani wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kibiti Ally Ungando aliehoji,
Kutoka na mauaji yanayoendelea Wilayani Kibiti bado kuna hitaji umeme, Je serikali ina mpango gani wa kutuletea umeme katika vijiji vilivyobakia?“Serikali imekusudia kuangaza umeme vijiji vyote nchi nzima, napenda niseme hivyo kwasababu Mheshimiwa Ungando tumeshirikiana sana lakini niseme tu hivi vijiji vyote vya jimbo la Kibiti vitapelekewa umeme sasa kupitia mradi wa REA hadi kufikia mwaka 2021 vijiji vya Kibiti vitakuwa vimeshapata umeme vijiji vyote,” amesema Kalemani.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment