Wednesday, 29 November 2017

Uwoya Amnyima Penzi Dogo Janja Tangu Ndiku Afariki.

Kwa habari za kunyapia nyapia ni kwamba Irene Pancras Uwoya (Sheila Abdul) aanza kumchukia dogo janja kiasi cha kuyumbisha penzi lao na mbaya zaidi amekuwa akimnyima penzi dogo janja na mara nyingi hupenda kumkwepa kwepa janjaro na kiasi fulani anahisi kama janjaro ndo chanzo cha mumewe kipenzi Hamadi Kataut.Dogo janja mara kwa mara akitafutwa kujibu suala hili la kunyimwa...

Alikiba na Abdukiba Kwenye Kolabo ya Pamoja Kuachia Nyimbo Mpya Kesho.

Baada ya kimya cha muda mrefu wakali kutokea Bongoflevani Alikiba na Abdukiba ambao ni ndugu wa damu wameamua kurudi tena kwenye headlines za bongofleva baada ya kujiandaa kuachia wimbo wao mpya.Uthibitisho wa kuachia wimbo huo umepatikana baada ya Alikiba na Abdukiba kupost kupitia mitandao yao ya Instagram kwa kuahidi kuwa wataachia Audio na Video kwa pamoja siku ya Alhamisi...

TANESCO Wataja Chanzo cha Kukatika kwa Umeme Dar, Pwani.

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa taarifa kwa wateja katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuwa baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na hitilafu iliyojitokeza.Taarifa ya Tanesco imesema baadhi ya maeneo ya mikoa hiyo hayana umeme kuanzia saa 3:20 asubuhi ya leo Jumatano Novemba 29,2017 kutokana na mashine namba tatu ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia...

Inasikitisha Baba Amtoa Kafara Mwanaye Amkata Sehemu za Siri kwa Shoka.

MTU mmoja huko mwenye umri wa miaka 39 huko Chhattisgarh, India, amemtoa kafara mwanaye mdogo katika kitendo cha ushirikiana kwa kumkata uume na sehemu za kichwa kwa shoka hadi kusababisha kifo chake, kwa madai ya kufukuza mapepo mabaya ‘mashetani’.Watuhumiwa wakiwa chini ya ulinzi.Kitendo hicho kilifanyika huko Balodabazar wilayani Chhattisgarh, polisi walisema jana. Ramgopal...

Mabasi ya Mwendokasi Kupanua Wigo Sasa Hadi Sinza, Masaki.

WAKALA wa  Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unatarajia kupanua wigo wa usafiri huo kwa kuongeza ruti za Sinza, masaki na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Sambamba na ruti hizo, DART pia inatrajia kuongeza mabasi katika mfumo wake kutoka 140 yaliyopo sasa hadi mabasi 305 pindi awamu ya kwanza ya mfumo huo itakapokamilika.Mtendaji Mkuu wa DART, Mhandisi Ronald Lwakatare, alisema...

Uchambuzi wa Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Unaitwa Sikomi.

UCHAMBUZI WA WIMBO JINA LA WIMBO: SIKOMI MSANII : DIAMOND PLATNUMZ UTANGULIZIDiamond Platnumz ni msanii wa muziki wa kizazi kipya (bongofleva) kutoka Tanzania. Anaiwakilisha nchi yake na fasihi ya kiswahili nje na ndani ya nchi kwa ufanisi. Wimbo wake mpya wa Sikomi ni mojawapo ya nyimbo zake nyingi ambazo amepata kuziimba tangu alipoanza mziki wake. Ufuatao ni uchambuzi...

Korea Kaskazini: Tunaweza Kushambulia Eneo Lolote Marekani.

Korea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa kulifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu ambalo linaweza kufika eneo lolote la Marekani.Runinga ya kitaifa nchini humo imesema kuwa Pyongyang sasa imefanikiwa kuafikia azimio lake la kuwa taifa lenye nguvu za kinyuklia.Kombora hilo kwa jina Hwasong-15 ambalo imesema ndio kombora lenye uwezo mkubwa lilirushwa katika giza...

Lulu Diva, Rich Mavoko Wanaswa Kwenye Mahaba Mazito.

MWANAMUZIKI Lulu Diva amenaswa na msanii mwenziye Rich Mavoko wakiwa katika pozi za kimahaba usiku mnene katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam kwenye shoo ya Fiesta hivi karibuni. Rich Mavoko alitumia udhaifu wa Lulu na kuanza kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake ambaye aliona raha na vicheko kedekede.  Mrembohuyo  hakujali kamera zilizokuwa...

Breaking News: Waziri Majaliwa Anasa Semi Trailer 44 Zilizokua Zinataka Kutolewa Kinyemela Bandalini Amuagiza IGP Sirro Kukamata Wamiliki.

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Novemba 29, 2017 amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simo Sirro kuwakamata Bw. Bahman wa Kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni wa Wallmark Bw. Samwel kwa kutaka kutoa Bandarini magari makubwa 44 aina ya Semi Trailer bila ya kulipa kodi kwa kutumia jina la Waziri Mkuu.Aidha, Majaliwa ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania...

Natamani Kufanya Kazi na Ali Kiba Katika Ujio Wangu Mpya- Sister P.

Msanii mkongwe kwenye bongo fleva, Sister P ambaye amewahi kutamba kwa ngoma kama, Anakuja,  Hey Dj na zingine amefunguka na kusema kuwa katika ujio wake mpya kwenye muziki anatamani kufanya kazi na mfalme Alikiba kwani anaamini watafanya kazi kubwa.Sister P amesema hayo leo alipokuwa akipiga stori na mwandishi wa tovuti ya EATV na kudai kuwa akifanya kazi na Alikiba...

Thursday, 2 November 2017

Mama Mzazi wa Dogo Janja Ampa Baraka Zote Mwanaye Kwenye Ndoa Yake Asema 'Nimelidhika Hata Mtume Mohamad Alioa Mwanamke Mkubwa'.

Mama mzazi wa msanii Dogo Janja Bi. Zaituni Omari, amesema habari za mtoto wake kuoa ni za kweli na yeye kama mzazi alimpa baraka zote, vinginevyo asingeweza kuoa.Mama yake Dogo Janja ameyasema hayo alipokuwa akiongea na mwandishi wa habari na kusema kwamba yeye kama mzazi ameridhika kwani pia ametimiza matakwa ya dini.“Alishawahi kuniambia kuwa anataka kuoa na mimi nikampa...

Nyarandu Akanusha Taarifa Zinazosambazwa Kwenye Mitandao ya Kijamii.

WAKATI Bunge likimtema rasmi aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Lazaro Nyalandu, mwenyewe amejitokeza na kuponda habari zinazosambazwa kueleza ubaya akisema ni uzushi.Jana Nyalandu alisema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwamo WhatsApp na Facebook kuelezea kasoro za kiutendaji akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii ni uzushi ambao Watanzania wanapaswa...

Yanga Kuwakosa Ngoma, Tambwe, Kamusoko na Juma Abduli Katika Mechi Dhidi ya Singida United.

Kikosi cha Yanga kitaondoka kesho mapema kwa basi lake kwenda Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Singida United Jumamosi Uwanja wa Namfua.Lakini wachezaji wanne tegemeo hawatakuwepo kwenye msafara huo ambao ni beki Juma Abdul, kiungo Thabani Kamusoko, Donald Ngoma na Mrundi, Amissi Tambwe.Abdul hatakuwemo kwa sababu anatumikia...

Wednesday, 1 November 2017

SOMA Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo.

Job Opportunity at Halotel TanzaniaJob Opportunities at Shugulika RecruitmentJob Opportunity at Mwananchi Communications Limited, ReporterJob Opportunity at Kibo Poultry Products, Senior AccountantJob Opportunity at CVPeople Africa, Delivery ManagerJob Opportunities at African Minerals and Geosciences Centre, Volunteer TraineesJob Opportunity at One Acre Fund, Program Partnership...

Babu Aliyemfanyia Tohara Dogo Janja Afunguka, Asema Irene Uwoya ni Size yake.

Babu mmoja Arusha amewatoa hofu mashabiki waliodai dogo janja huenda akawa anachapiwa mzigo na vijana wabemba nondo mjini,amedai kwa jinsi anavyomfahamu dogo janja alivyo lazima Uwoya atulie kabisa,pia ameongeza hata kama wangekuwa Wolper,Uwoya ,Wema na Aunt Ezekiel pamoja lazima wote wangetulia tu.  Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako...