Home »
Burudani
» Natamani Kufanya Kazi na Ali Kiba Katika Ujio Wangu Mpya- Sister P.
Msanii mkongwe kwenye bongo fleva, Sister P ambaye amewahi kutamba kwa ngoma kama, Anakuja, Hey Dj na zingine amefunguka na kusema kuwa katika ujio wake mpya kwenye muziki anatamani kufanya kazi na mfalme Alikiba kwani anaamini watafanya kazi kubwa.Sister P amesema hayo leo alipokuwa akipiga stori na mwandishi wa tovuti ya EATV na kudai kuwa akifanya kazi na Alikiba lazima itakuwa kazi kubwa na bora zaidi sababu watakuwa wamekutana wanamuziki na si wasanii."Kwa sasa nimejipanga vya kutosha kwa ajili ya kuanza mashambulizi mwakani mwezi wa kwanza, kuna ngoma nyingi ndani nimefanya na mtayarishaji mpya kwenye muziki anaitwa Banny Music chini ya Big Sound studio, lakini kiu yangu kubwa kufanya kazi moja na Alikiba kwani naamini itakuwa kazi kubwa zaidi sababu tutakuwa tumekutana wanamuziki na siyo wasanii" alisisitiza Sister PSister P ambaye hivi sasa muonekano wake umebadilika tofauti na zamani ameahidi kuwashangaza Watanzania kwa kazi zake mpya na kusema anaamini kuwa atarudi kwenye nafasi yake licha ya kukaa kimya kitambo kwenye muziki.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
TANZIA: Dogo Mfaume Hatunaye Tena.
Msanii
wa muziki wa bongo fleva, Dogo Mfaume ambaye aliwahi kutamba na nyimbo
kama 'Kazi Yangu Ya Dukani' amefariki dunia jana katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili alipokuwa akiendelea kupatiwa matibabu.
Dogo
Mfau… Read More
Sakata la Diamond Kudaiwa Mil 400 na TRA lafika Hapa.
Siku chache tangu Mbunge wa Jimbo la Mikumi Professa Jay kupaza sauti
yake kuhusu makadirio makubwa ya kodi anayotakiwa kulipa Mwanamke
anayewika nje na ndani ya nchi katika muziki wa bongo Flavor Diamond
Pla… Read More
Jack Wolper Aongoza Mastaa Kwa Kuhongwa.
ONFESSION! Staa mwenye umbo na muonekano wa ‘kokoro’, Jacqueline Wolper
Massawe ‘Gambe’ amekiri kuwa hakuna msanii wa kike anayeongoza kwa
kuhongwa vitu vya thamani na gharama kubwa zaidi yake, Ijumaa
tunakutiririshia ay… Read More
Rayvanny afunguka mema Sugu aliyomtendea.Msanii Rayvanny amesema Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ni
mtu ambaye ameshiriki kwa kiasi kikubwa katika video yake ya ‘Zezeta’
ambayo ipo mbioni kutoka.
Rayvanny
Rayvanny amesema Sugu ndiye alimpa idea … Read More
BAADA ya Bunge Live, Wasanii, Magazeti, Sasa Mwakyembe Asema Mitandao ya Kijamii ni Hatari Lazima.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison
Mwakyembe amesema watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania ni wengi
sana hivyo mitandao hiyo kama haitadhibitiwa mapema huenda ikaleta
matatizo katika n… Read More
0 comments:
Post a Comment