Home »
Habari Moto
» TANESCO Wataja Chanzo cha Kukatika kwa Umeme Dar, Pwani.
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa taarifa kwa wateja katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuwa baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na hitilafu iliyojitokeza.Taarifa ya Tanesco imesema baadhi ya maeneo ya mikoa hiyo hayana umeme kuanzia saa 3:20 asubuhi ya leo Jumatano Novemba 29,2017 kutokana na mashine namba tatu ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia kituo cha Ubungo II kupata hitilafu.“Mafundi wa shirika wanaendelea na jitihada za kutatua hitilafu hiyo kwa haraka ili kurejesha umeme katika hali yake ya kawaida,” imesema taarifa ya Tanesco.Shirika hilo limesema litaendelea kutoa taarifa za maendeleo ya kazi hiyo.Pia, Tanesco imetoa tahadhari kwa wananchi kutosogelea, kushika wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.Uongozi wa shirika hilo umewaomba radhi wateja kwa usumbufu uliojitokeza.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli Azindua Mwelekeo Mpya wa Jeshi la Polisi.Fahamu zaidi hapa.
RAIS
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli ameliagiza jeshi
la Polisi kutumia mbinu za kisasa katika kukabiliana na uhalifu na
kuifanya nchi kuwa sehemu salama nyakati zote.
Dk
Magufuli ameonesha ku… Read More
#YALIYOJIRI>>>Serikali Yasitisha Tamko la Utoaji wa Chakula Muhimbili.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ,
imesitisha tamko la utoaji wa vyakula kwa wagonjwa watakaolazwa katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kupisha utafiti wa kina kuhusu
h… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mafuriko yawaua watu 20 Marekani.Fahamu zaidi hapa.
Mafuriko Marekani
Zaidi ya watu 20 wamefariki kutokana na mafuriko makubwa yaliyokumba jimbo la magharibi la Virginia.
Gavana wa jimbo hilo amesema mafuriko hayo yamesababisha hasara kubwa huku majumba karibu elfu… Read More
#YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu, David Cameron atangaza kujiuzulu baada ya Uingereza kupiga kura ya kujitoa rasmi kwenye Umoja wa Ulaya(EU).Fahamu zaidi hapa.
Waziri
mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya
kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika Muungano
wa Ulaya (EU).
Cameron akiwa amejawa na huzuni amesema kuwa a… Read More
#Breaking News>>>>Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016.Fahamu zaidi hapa.
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016.
Wanafunzi
waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla
ya wanaf… Read More
0 comments:
Post a Comment