Home »
Burudani
» Lulu Diva, Rich Mavoko Wanaswa Kwenye Mahaba Mazito.
MWANAMUZIKI Lulu Diva amenaswa na msanii mwenziye Rich Mavoko wakiwa katika pozi za kimahaba usiku mnene katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam kwenye shoo ya Fiesta hivi karibuni.
Rich Mavoko alitumia udhaifu wa Lulu na kuanza kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake ambaye aliona raha na vicheko kedekede. Mrembohuyo hakujali kamera zilizokuwa zikimmulika ndani ya usiku huo mnene, kwani muda wote alikuwa bize akisikilizia mapapaso hayo bila woga.
Naye Mavoko aliyekuwa akimpapasa, hakuwa nyuma katika kuhakikisha nafasi hiyo haipotei bila kutumika ipasavyo.
Huko nyuma wawili hao waliripotiwa kuwa wapenzi, jambo ambalo walilikanusha kila mara.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Baada ya Kubwagwa na Heri Muziki Diva Anyapia Penzi la Soudy Brown.
Baada ya kubwagana na mpenzi wake Heri Muziki, Diva amefunguka mipango yake ya kuwa na Soudy Brown.
Mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm amesema kwa
sasa yupo tayari kubadili dini kwa ajili ya Soudy Br… Read More
Hizi Ndivyo Wema, Mobetto na Tunda Wanavyozungukana kwenye Penzi la Diamond.
Mambo ni moto! Habari ya mjini inayotrendi ni kitendo cha staa wa sinema
za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kuonekana akioneshana mahaba shatashata
na zilipendwa wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambacho kimeamsha
‘vilivy… Read More
Kuolewa Mke wa Pili si Dhambi- Tausi Mdegela.
KOMEDIANI matata wa Bongo Movies, Tausi Mdegela amefunguka kuwa,
ikitokea akapata mwanaume wa kumuoa, hata kama ana mke haina shida
kuolewa mke mwenza au wa pili kwani kama ni Muislam, dini inaruhusu.
Tausi alifunguka h… Read More
TID: Kuwa Karibu na Makonda Kumenifanya Nikose Show.
Msanii wa muziki, TID amelalamika kuwa baadhi ya watu wanamfanyia figisu
figisu ili asipate show kutokana na ukaribu wake na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam, Paul Makonda.
Muimbaji huyo amefunguka hayo katika kipindi cha E… Read More
Aunt Ezekieli, Tunda na Iyobo Kimenuka Wamwagiana Mvua ya Matusi Mitandaoni.
Moja kati ya stories zinazotrend katika mitandao ya kijamii leo Jumanne
ya January 30 2018 ni post ya Tunda ambapo alipost picha yake katika
ukurasa wake wa instagram na baadae Aunt Ezekiel kumjibu kwa kucomment.
“Afu n… Read More
0 comments:
Post a Comment