Home »
Burudani
» Alikiba na Abdukiba Kwenye Kolabo ya Pamoja Kuachia Nyimbo Mpya Kesho.
Baada ya kimya cha muda mrefu wakali kutokea Bongoflevani Alikiba na Abdukiba ambao ni ndugu wa damu wameamua kurudi tena kwenye headlines za bongofleva baada ya kujiandaa kuachia wimbo wao mpya.Uthibitisho wa kuachia wimbo huo umepatikana baada ya Alikiba na Abdukiba kupost kupitia mitandao yao ya Instagram kwa kuahidi kuwa wataachia Audio na Video kwa pamoja siku ya Alhamisi hii, ambapo Abdukiba ameandika…>>>“The long wait is almost over!!!!King’s Music presents @officialabdukibaanew single featuring @officialalikiba – Audio & Video zinadondoka Alhamisi hii. Subscribe to AbduKiba youtube channel uwe wa kwanza kuiona video ya #Singledirected by @hanscana_#SupportedByKiba#KingKiba..” – Abdukiba
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Chadema yaweka ulinzi mkali nyumba ya mama Wema......Ni Baada ya Nyumba Hiyo Kupigwa Mawe Usiku.Fahamu zaidi hapa.
Nyumba ya mama Wema Sepetu, Mariam Sepetu, iliyopo Sinza Mori jijini Dar
es salaam usiku wa kuamkia jana imepigwa mawe juu ya bati kwa muda wa
saa moja na nusu.
Kutokana na tukio hilo viongozi wa Chadema wamechukua hat… Read More
Wema Sepetu amchinjia baharini Batuli.Fahamu zaidi hapa.
Sasa Wema Sepetu na Batuli ni mbuzi na chui, urafiki ndio umefika
mwisho. Tukio hilo limetokea baada ya Wema kukasirishwa na kitendo cha
Batuli kusema kuwa yeye alishalipwa fedha zake za kampeni na CCM.
Kupitia mtandao w… Read More
Steve Nyerere, Mama Wema Wafika Pabaya.Fahamu zaidi hapa.
DAR ES SALAAM: Hapatoshi na joto la ugomvi linazidi kupanda kila kukicha
kufuatia mama wa mwigizaji Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu kuingia
kwenye mgogoro mzito na Mwigizaji Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Wawili
h… Read More
Mwanamuziki Timbulo Aiponda Label ya QS Mhonda...Adai Haijui Muziki ndio Imempotezea Muda Q Chief.Fahamu zaidi hapa.
Timbulo amedai kuwa licha ya wimbo wake hivi karibuni kuvuja ikiwa na ID
ya label ya QS Mhonda, haimaanishi kuwa amesainishwa na label hiyo.
Akiongea na Pride FM, Timbulo amedai kuwa wimbo huo ulirekodiwa kipindi
ambacho… Read More
Steve Nyerere sio staa kwangu, ni panya – TID.Fahamu zaidi hapa.
Huu ni mwezi mbaya kwa mchekeshaji Steve Nyerere. Ni kwasababu kauli zake zimeendelea kumponza.
Hivi karibuni, kwenye mazungumzo yaliyovuja kati yake na mama yake na
Wema Sepetu, alidai kuwa hitmaker wa Siamini, TID alipe… Read More
0 comments:
Post a Comment