
Kamati
ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na makosa ya
utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga nchini
Morocco, Simon Msuva ambaye imempa onyo kali la barua.
Mbali na Msuva, wengine waliokuwa wakijadiliwa na kamati hiyo kwa utovu
wa nidha kwenye michezo ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania Bara ni Obrey
Chirwa (Yanga) na Deus Kaseke...