Makonda, Sirro wapishana Kauli.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa hip hop Roma Mkatoliki alikamatwa April 5 usiku ambapo
taarifa zilianza kuenea katika mitandao ya kijamii kuwa alikamatwa
studio za Tongwe Records na watu wasiojulikana akiwa na wenzake 4 na
wakapelekwa …Read More
0 comments:
Post a Comment