Monday 7 August 2017

Kama Upo Kwenye Mahusiano Miaka 2 na Msichana na Hujaona Chozi lake, Huyo Hana Mapenzi ya Kweli.

Leo nimeona nilete hili jambo, katika ujana wangu nimebahatika na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya msichana mmoja ila kitu nilicho gundua hata wewe jalibu kufanya utafiti

kama upo kwenye mapenzi na mwanamke zaidi ya miaka miwili na hujabahatika walau siku moja
kuona machozi yake basi tambua huyo mwanamke hana mapenzi ya dhati kwako chamsingi
nikuchukua tahadhari mapema OVA.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment