Saturday 5 August 2017

TASWIRA TANO; TAYARI MASHABIKI WA ARSENAL WAKIWA UWANJA WA NDEGE KUMSUBIRI KISIKI SOL CAMPBELL.

Gwiji la Arsenal, Sol Campbell anatua jijini Dar es Salaam leo Alasiri na tayari mashabiki kadhaa wametua Keenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kumpokea.

Mashabiki hao wameonyesha kuwa na bashaha wakitaka kumuona Campbell aliyeiwezesha Arsenal kubeba vikombe enzi zake akiwa beki kisiki.


Campbell raia wa Uingereza analetwa nchini na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa.
Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment