Monday 7 August 2017

BATA LA NEYMAR HUKO UFARANSA SI MCHEZO, ACHUKUA MARAFIKI ZAKE HALAFU "WAKAJIACHIAA".

Neymar dos Santos ambaye ni mchezaji ghali zaidi duniani, ameamua “kujiachia” kabla ya kuanza kazi yake rasmi.

Mshambulizi huyo raia wa Brazil, ameamua kusafiri hadi Kusini mwa Ufaransa, eneo liitwalo St Tripez kula bata akiwa na rundi la marafiki zake wakiwa katika boti ya kifahari.
Ameamua kula bata akijiandaa kuanza kuichezea Paris Saint-Germain kwa mara ya kwanza.

Amejiunga na PSG kwa kitita cha pauni milioni 198 ambazo zinamfanya kuwa mchezaji ghali zaidi kwa kipindi hiki.

Neymar alionekana ni mwenye furaha akiwa na rafiki zake hao.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment