Monday 7 August 2017

MAN UNITED HAWA HAPA WAKIPASHA KABLA YA KUIVAA MADRID KATIKA UEFA SUPER CUP.

Manchester United wamefanya mazoezi ya mwisho nchini Macedonia kujiandaa na mechi ya UEFA Super Cup dhidi ya Mabingwa wa Ulaya Real Madrid. 

Man United ambao ni mabingwa wa Europa League na walifanya mazoezi laini ikiwa ni sehemu ya kupasha misuli.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment