Mtoto Abakwa na Kuuawa Kikatili na Dereva ‘Boda Boda’.
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 14 ambaye pia ni mwanafunzi ameuawa
kikatili baada ya kubakwa na muendesha pikipiki akiwa anaenda shule.
Imeelezwa kuwa Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 14 alikuwa anasoma
darasa …Read More
Mawakili Watatu wa Sugu Wajitoa.
Mawakili wa utetezi katika kesi inayowakabili Mbunge wa Mbeya Joseph
Mbilinyi 'Sugu' na Katibu CHADEMA kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga
wamejiondoa kutokana na kutokuwa na imani na muenendo wa kesi hiyo na
kuwataka watafu…Read More
Serikali Imevunja Mkataba na Wakala wa Majengo TBA.
SERIKALI imevunja mkataba na Wakala wa Majengo TBA baada ya kutoa
taarifa za uongo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu ujenzi wa
majengo ya Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Butiama na halmashauri mpya Wilaya
ya Butiama mko…Read More
0 comments:
Post a Comment