Home »
Habari Moto
» Zitto Kabwe Yamemfika Hapa Aitaka Chadema Kuunganisha Nguvu Ili Kuing'oa CCM.
Mbunge wa Kigoma Mjini ambaye pia ni kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amevitaka vyama vingine vya upinzani ikiwemo CHADEMA, kuunganisha nguvu ili kuhakikisha wanaing'oa CCM kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani.Zitto Kabwe ameyasema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa kampeni za kuelekea uchaguzi huo, na kusema kwamba wamegundua iwapo wataunganisha nguvu na kuachiana baadhi ya kata, watafanikisha kukitoa chama cha CCM, na hatimaye kutimiza malengo yao ya kushikilia kata hizo."Iwapo vyama vyote vya upinzani vikituachia sisi kugombea kata za Kijichi tutaishinda CCM, na iwapo sisi tukiwaachia kata ya Mbweni wataishinda CCM, tunaomba wenzetu tuweke nguvu ya pamoja, tushinde Kijichi na Salanga, tumefanya utafiti tumeona tuna nafasi kubwa ya kushinda Kijichi, tuna nafasi kubwa ya kugawa kura na wenzetu Mbweni”, amesema Zitto kabweZitto Kabwe ameendelea kusema kwamba ...”Tunawaambia wenzetu kupitia nyie, tuna adui mmoja tu CCM, tuache majivuno, ushirikiane, na sisi tumeonyesha 'good faith' tumewaachia Mbweni, tunawaomba wa-extend hiyo good faith, na wakihitaji maada tutawasaidia, ili kwenye kata zote zinazofanya uchaguzi Dar es salaam CCM ishindwe”.Hivi karibuni kunatarajiwa kufanyika chaguzi ndogo ndogo za madiwani katika maeneo mbali mbali nchini, kwa mujibu wa sheria na katiba za nchi.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Magari ya Washawasha Yazua Mjadala Bungeni.Fahamu zaidi hapa.
Magari
ya washawasha jana yaliibua mjadala bungeni baada ya mbunge wa Viti
Maalumu, Susan Lyimo (Chadema) kubanwa athibitishe kauli yake aliyoitoa
kuwa serikali ilinunua magari ya Polisi ‘Washawasha” 777 wak… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mtoto wa marehemu, Chacha Wangwe afikishwa kortini kwa makosa ya kimtandao.Fahamu zaidi hapa.
BOB
Chacha Wangwe (24), mtoto wa mwanasiasa marehemu Chacha Wangwe,
amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za
kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
Akisoma
kesi hiyo namba 16… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mpinzani wa Museveni , Dr Kiiza Besigye Akamatwa Baada ya Kujiapisha Kuwa Rais.Fahamu zaidi hapa.
Mpinzani
mkuu wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Dk. Kizza Besigye ambaye
amekuwa akipinga ushindi wa Rais huyo, amekamatwa na polisi wa nchi hiyo
baada ya jana kujiapisha kuwa Rais ikiwa ni siku moja tu (leo) kabla ya
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli , Samia na Kassim Majaliwa Ziarani nje kwa Mpigo - Mwanasheria mkuu atoa ufafanuzi kuhusu kaimu Rais.Fahamu zaidi hapa.
Viongozi wakuu wote wa Taifa wako nje ya nchi katika ziara za kiserikali kwenye mataifa tofauti.
Rais
John Magufuli aliwasili Uganda jana asubuhi kuhudhuria sherehe za
kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo, Yoweri … Read More
#YALIYOJIRI>>>>JWTZ LAANDAA SEMINA YA WAKUU WA KAMANDA WA MAJESHI YA NCHI KAVU AFRIKA.Fahamu zaidi hapa. JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA T… Read More
0 comments:
Post a Comment