Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Makontena 100 Yapitishwa Kinyemela Bandarini Bila Kukaguliwa .....Waziri Mwijage Atoa Siku 4 Wahusiku Wajisalimishe.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage ametoa siku nne kwa
wafanyabiashara waliopitisha makontena 100 bandarini bila kukaguliwa na
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wakatoe taarifa katika shirika.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Rais Magufuli Alivyoagana Na Kiongozi Mkuu Wa Bohora Duniani, Ikulu Jijini Dar.Fahamu zaidi hapa.
Jumuiya
ya Madhehebu ya Dawoodi Bohra imetoa mchango wa Dola za Marekani laki
mbili na nusu (Usd. 250,000) sawa na Shilingi Milioni Mia Tano Arobaini
na Tano za Kitanzania (Ths. 545,000,000) kwa ajili ya kuwasaidia
waa… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Serikali Yaiamuru Bodi ya Mikopo Istishe Makato na Imlipe Pesa Zake Mstaafu Aliyekuwa Akikatwa Kimakosa.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
imeiagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kusitisha mara
moja makato ya fedha yaliyokuwa yakifanywa kwenye malipo ya pensheni ya
mstaafu Ernest Lameck, katika Chuo cha Ualimu cha Tukuyu kilich… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Imeripotiwa Kupotea Kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika.Fahamu zaidi hapa.
Habari kubwa zinazotrend sasa hivi mtu wangu moja nii hii iliyoripotiwa
na kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kupotea kwa Rais wa
Malawi, Peter Mutharika ambae hajarudi nchini kwake tangu alivyoondoka
kuele… Read More
Taarifa Ya Jeshi La Polisi Kwa Umma Kutoka Mkoa Wa Mwanza.Fahamu zaidi hapa.
Tarehe
12.10.2016 majira ya saa 16:35 katika eneo la Busenga “A” kata ya
Buswelu wilaya ya Ilemela jiji na mkoa wa Mwanza, askari walifanikiwa
kumkamata mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Juma Biria miaka 42,
mfanya b… Read More
0 comments:
Post a Comment