Home »
Burudani
» Kesi ya Lulu Michael Yamnyima Muna Love Usingizi.
MSANII wa filamu na mjasiriamali, Rose Alphonce ‘Muna’ amesema kuwa, anapitia katika kipindi kigumu sana cha kumuuguza mtoto wake lakini muda huohuo kukosa usingizi kutokana na kesi inayoendelea ya mdogo wake wa hiari, Elizabeth Michael ‘Lulu’.Akizungumza na Star Mix, Muna ambaye tangu kesi ya Lulu imeanza kusikilizwa hakosi kuwa naye mahakamani alisema, amekuwa kwenye kipindi kigumu kwa kuwa takribani miezi miwili anamuuguza mtoto wake mguu wenye majeraha lakini pia hapati usingizi kwa ajili ya kesi ya Lulu.“Yaani najiona kabisa kama huu mwaka ni wangu, maana pale Muhimbili walishanizoea kabisa, nimekaa muda mrefu nikimuuguza mwanangu mguu lakini ukiachana na hilo nahangaika na upande wa pili ishu ya Lulu mpaka nachanganyikiwa,” alisema Muna.STORI: IMELDA MTEMA
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Flora Mvungi alidanganya kuwa ana mimba au mimba iliyeyuka?...Fahamu zaidi hapa.Baada ya H.Baba na mke wake Flora Mvungi kuweka wazi mapema mwaka huu kwamba wanatarajia kupata mtoto watatu,
hivi karibuni Frola Mvungi ameonekana katika picha hana ujauzito hali
ambayo imewafanya mashabiki wake katika mi… Read More
Huu ni uthibitisho kutoka kwa Babu Tale kuwa Chidy Benz kajiunga Rasmi WCB..Fahamu zaidi hapa.Inawezekana sana kuwa Chidi Benz amejiunga rasmi na lebo ya WCB, hii inatokana na Meneja wa Babu Tale kuandika Maneno yanayothibitisha kuwa Chidy Benzi sasa yuko kwenye himaya hii yenye nguvu katika Muziki wa Tanzania.
&nb… Read More
Picha: Mke wa H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua mtoto wa tatu.Mke wa msanii wa muziki H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua hivi karibuni na kuipatia familia yake mtoto wa tatu.
Flora Mvungi akiwa hospitali
Wana ndoa hao wenye watoto wawili, Tanzanite na Africa, wameshare
picha… Read More
KUMBE MASANJA MKANDAMIZAJI UTAJIRI WAKE ANAUPATIA HUKU…VIJANA TUMUIGE.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha
kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi
anavyowajibika akiwa shambani kwake.
Mchekeshaji huyo ambaye pia ni mjasiri… Read More
Kuna collabo ya Vanessa Mdee, Patoranking na Dj Maphorisa inakuja.Fahamu zaidi hapa.Tanzania meets Nigeria meets SA. Vanessa Mdee, Patoranking na Dj Maphorisa wanatarajia kuachia wimbo wao wa pamoja.
Vee Money ambaye kwa sasa yupo Kenya, ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo utatoka hivi karibuni.
Alishare pi… Read More
0 comments:
Post a Comment