Home »
Habari Moto
» Breaking News: Zitto Kabwe Aachiwa kwa Dhamana Akamatwa Tena.
Saa chache baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kukamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa katika kituo cha polisi cha Chang’ombe Dar es salaam, aliachiwa kwa dhamana lakini amekamatwa tena na kupelekwa kituo cha Polisi cha Kamata kwa ajili ya mahojiano zaidi.Katibu na itikadi na uenezi wa ACT WAZALENDO amesema “baada ya kukamatwa tena amepelekwa kwenye kituo cha Polisi Kamata, hatufahamu ni sababu gani zilizofanya akakamatwa tena, tuna tafsiri kama Chama mwenendo wa sasa wa kumshughulikia Zitto ni kujaribu kumnyamazisha“
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Mwanamke Aliyemnyofoa Ulimi Mwanaume Wakati Wakila Denda Afikishwa Mahakamani.Fahamu zaidi hapa.
Mwanamke anayedaiwa kumng’ata ulimi kijana Saidi Mnyambi (26) siku 28
zilizopita, kwa kile kilichodaiwa kutaka kufanya naye mapenzi kwa nguvu,
hatimaye amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Singida.
Mwanamke huyo, Mw… Read More
UPDATED!: List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017.
Kuona Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Chuo Kikuu 2016/2017,
==>Chuo Cha Hurbert Kairuki <<bonyeza Hapa>>==>Chuo Kikuu Muhimbili <<bonyeza H… Read More
#YALIYOJIRI>>>>>Shule Nyingine 12 Zafutwa.Fahamu zaidi hapa.
Wizara
ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imezifuta shule
nyingine za awali na msingi nchini ambazo hazijasajiliwa zaidi ya 10
kuanzia Desemba mwaka jana. Aidha, shule tano kati ya 40 zilizokuwa
zimefut… Read More
#BURUDANI>>>Muna Afunguka Kumuingiza Wema Kwenye Madawa Ya Kulevya!...Fahamu zaidi hapa.
Mrembo aliyewahi kufanya vyema kwenye tasnia ya maigizo Bongo, Rose
Alphonce ‘Muna’, amefungukia madai ya watu kumtuhumu kuwa amemwingiza
shosti wake Wema Sepetu ‘Madam’ kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kwa
kusema ma… Read More
#YALIYOJIRI>>>Sababu kifo cha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Dodoma.Fahamu zaidi hapa.
Mashuhuda
wa ajali iliyosababisha kifo cha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake
Tanzania (UWT) Mkoa wa Dodoma, Salome Kiwaya wamesema alikufa kutokana
na kushindwa kupewa msaada kwa haraka.
Walisema
baada ya ajal… Read More
0 comments:
Post a Comment