
“Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa laini za simu alama za vidole
zitatumika kuanzia Februari 5, 2018. Kwa mawasiliano zaidi tembelea
maduka yetu,” ni ujumbe ambao watumiaji mbalimbali wa mitandao ya simu
nchi wametumiwa kuanzia juzi kutoka katika mitandao yao.
Kuhusu ujumbe huo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema kuwa
imetoa kibali kwa makampuni ya...