Home »
Makala
» Sababu 5 Zinazosababisha Uume Kuwa Mdogo (Kibamia)...Soma Hapa Kidume Ufahamu.
Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida...Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo . " Mwanaume utakuwa wewe!" na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo....Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao amakujihusisha na upigaji punyeto n.k.NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.2. Kuugua chango la uzazi.3. Magonjwa ya utotoni.4. Kutahiriwa mapema5. Kurithi kutoka kwa wazazi :Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbilehayo kutoka kwa wazazi wao.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Nahisi Mke wangu Anawapenda Kimapenzi Wanawake Wenzake.
I think my wife likes women
------------------------------------
I would like to know if there are other men out there who think their
wives are into women? I think mine is. I went through her Phone the
other day and I co… Read More
Inawezekana Kupata Mume au mke Mzuri Kupitia Facebook?
Katika safari ya mapenzi wanandoa huwa wanakutana katika maeneo
mbalimbali, wapo wanaokutana vyuoni,shuleni, kwenye nyumba za ibada,
sokoni, kwenye daladala, kuunganishwa na mtu mwingine, au baada ya
kusikia sauti kwenye… Read More
Madhara ya Kulala Ukiwa Umevaa Sidiria Kwa Mwanamke.
Sidiria inavaliwa na mwanamke ili kusaidia kuyashikilia matiti,
kuyapunguzia uzito na inasaidia kuongeza kujiamini mbele ya watu. Kwa
mara moja inapovaliwa inabadili umbo na muonekano wa matiti, kama
kuyainua (kubusti) i… Read More
Shangazi Yangu Ananisaga Kila Mara, Nifanyeje?.
Mimi naitwa NASRA na nina mika 24, hilo nalileta kwenu jambo lango
wana-Udakuz naomba mnisaidie ushauri ili niwe kutatua tazizo hili
linalonikabili hapa chini:
Baada ya mama yangu kufariki 2001 kuna shangazi yangu (ambay… Read More
SIRI iliyojificha Kwenye Nazi, Muhogo na Karanga Mbichi.
Umewahi kukaa kwenye foleni? Kama jibu ni ndiyo, je, umewahi kuwaona
kina mama wanaouza nazi, muhogo na karanga mbichi katika mabeseni?
Kama jibu pia ni ndiyo, basi ukae ukijua kuwa bidhaa hizo sasa ndiyo
habari ya mjini… Read More
0 comments:
Post a Comment