Home »
Habari Moto
» Raila Odinga Apuuza Kauli ya Serikali...Adai Kuapishwa Kwake ni Alali.
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani (NASA), Raila Odinga amejitokeza katika viwanja vya Uhuru na kuapishwa kama Rais wa Watu wa Kenya.-Viongozi wengine wa Muungano huo, wakiwemo Kalonzo Musyoka, amabye ndiye alitarajiwa kuapa kama Makamu wake, Musalia Mudavadi na Moses Wetang'ula hawakuepo katika tukio hilo lililochukua chini ya dakika 10.-Kiongozi huyo alipuuza madai sherehe hizo za kuapishwa ni jaribio la kuipindua serikali na kuongeza upinzani utauonyesha Ulimwengu kuwa kuapishwa huko ni sahihi kisheria
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Serikali Yasitisha Tamko la Utoaji wa Chakula Muhimbili.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ,
imesitisha tamko la utoaji wa vyakula kwa wagonjwa watakaolazwa katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kupisha utafiti wa kina kuhusu
h… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli Azindua Mwelekeo Mpya wa Jeshi la Polisi.Fahamu zaidi hapa.
RAIS
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli ameliagiza jeshi
la Polisi kutumia mbinu za kisasa katika kukabiliana na uhalifu na
kuifanya nchi kuwa sehemu salama nyakati zote.
Dk
Magufuli ameonesha ku… Read More
#Breaking News>>>Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016.Fahamu zaidi hapa.
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016.
Wanafunzi
waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla
ya wanaf… Read More
Picha 19 mazoezi magumu zaidi ya majeshi ya nchi tofauti duniani.Fahamu zaidi hapa.
Mazoezi kwa wanajeshi ni kitu cha muhimu sana. Majeshi duniani
huhakikisha kuwa wanawafunza wanajeshi wao mafunzo ya kuikakamavu kuweza
kuwajenga kimwili na kiakili ili kuweza kupambana na hali tofauti
tofauti wanazokumb… Read More
#YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu, David Cameron atangaza kujiuzulu baada ya Uingereza kupiga kura ya kujitoa rasmi kwenye Umoja wa Ulaya(EU).Fahamu zaidi hapa.
Waziri
mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya
kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika Muungano
wa Ulaya (EU).
Cameron akiwa amejawa na huzuni amesema kuwa a… Read More
0 comments:
Post a Comment