Monday, 23 November 2015
Home »
Habari Moto
» BREAKING NEWS#Rais John Magufuli ameagiza kutofanyika sherehe za Uhuru tarehe 9 Desemba, badala yake siku hiyo itumike katika kufanya usafi.
BREAKING NEWS#Rais John Magufuli ameagiza kutofanyika sherehe za Uhuru tarehe 9 Desemba, badala yake siku hiyo itumike katika kufanya usafi.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Sumaye: Kuwa mpinzani yataka moyo.Fahamu zaidi hapa. WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amekiri kuwapo na ugumu wa kufanya siasa nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujitoa na kufanya kazi kwa moyo. S… Read More
#YALYOJIRI>>>>NECTA Kupigilia Panga la Mwisho Kwa Wenye Vyeti FEKI Kuanzia Kesho.....Watumishi Wote Kufuatwa Vituoni Kukaguliwa.Fahamu zaidi hapa. Hatua ya Baraza la Mitihani nchini (Necta) kutoa ratiba ya kufanya uhakiki wa vyeti vya kidato cha nne, sita na ualimu kwa watumishi wote wa umma sasa ni wazi imezidi kupandisha joto kwa vigogo na watumishi mbalimbali … Read More
#YALIYOJIRI>>>>>Mbunge wa Budalang’i nchini Kenya Asimulia Jinsi Rais Magufuli alivyoiteka Kenya.Fahamu zaidi hapa. Mbunge wa Budalang’i nchini Kenya, Ababu Namwamba amesema Rais John Magufuli anavuma kwa umashuhuri nchini humo akitajwa kwa namna anavyopambana na ufisadi na kubana matumizi ya Serikali, lakini akasema sifa hizo zitape… Read More
#YALIYOJIRI>>>>HUYU NDIYE MWALIMU ALIYE REKODI TUKIO LA KIKATILI LA KUPIGWA MWANAFUNZI NA WALIMU MBEYA DAY.FAHAMU ZAIDI HAPA. Pichani ni mwalimu aliyechukizwa na kitendo cha walimu wanne waliomshambulia Mwanafunzi kama wamekutana na Scorpion, pia alisikika akisema “mwalimu muacheni mtamuumiza” naamini ameokoa wanafunzi wengi wanaopigwa kama ny… Read More
#YALIYOJIRI>>>Aliyetaka Mwamunyage apindue nchi ashinda kesi.Fahamu zaidi hapa. Mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii (CDTI) cha mkoani Arusha, Allan Mbando, ameibwaga Serikali katika kesi ya kudaiwa kusambaza ujumbe kupitia Mtandao wa Facebook akimtaka Mwamunyange … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment