Fundisho kwa Serikali ya CCM. Upinzani sio Uadui.
Katika kuazimisha Siku ya Uhuru wa Kenya, Rais Kenyatta amewaalika
viongozi wa upinzani kwa mazungumzo Ikulu. Hii inaonyesha katika mambo
ya kitaifa wao ni wamoja na siasa haziwatenganishi undugu wao.
Hapa kwetu hata kwe…Read More
Bodaboda Achinjwa Kinyama na Kuporwa Pikipiki.
Mwanaume mmoja (30) mkazi wa Nyankumbu wilayani Nyamagana mkoani Geita
anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la mauaji ya dereva bodaboda
yaliyotokea majira ya 3:00 Usiku tarehe 06.05.2017.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mko…Read More
0 comments:
Post a Comment