WATU wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, wamevamia Msikiti Mkuu wa Ijumaa
ulioko Kata ya Igunga Mjini wilayani hapa mkoani Tabora, kisha kumjeruhi
mlinzi na kupora baadhi ya vitu ikiwemo vitabu vya dini ya Kiislamu.
Mlinzi aliyejeruhiwa ni Juma Mussa (55), mkazi wa Mtaa wa Nkokoto kata
ya Igunga ambaye amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga na hali
yake bado ni...
Baada ya kufutwa kazi aliyekuwa kocha wa Bayern Munich Carlo Ancelotti
ameishukuru bodi ya timu hiyo kwa kumwamini pamoja na ushirikiano
waliompa katika kipindi chote alichofundisha timu hiyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ancelotti ameandika “Imekuwa heshima
kubwa kuwa sehemu ya historia ya Bayern Munich. Napenda kuishukuru
Klabu, Wachezaji na zaidi mashabiki wa...
Serikali imesitisha uchapishaji na usambazaji wa gazeti la kila wiki la Raia Mwema kwa muda wa siku 90 kuanzia leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk
Hassan Abbasi amesema leo Alhamisi kuwa agizo hilo pia linahusu toleo la
mtandaoni.
Dk Abbasi amesema adhabu hiyo inatokana na toleo namba 529 la Septemba
27 hadi Oktoba...
Mwanamuziki Nuh Mziwanda amekanusha suala linaloongelewa na watu kuwa
kuvunjika kwa mapenzi kati yake na mzazi mwenzie chanzo chake siyo
Shilole bali ni wazazi wa binti huyo.
“Unajua watanzania ukiwapa picha tu, basi wao wataandika maneno
wataandika wenyewe Shilole hausiki hata kidogo kuvunjika kwa mahusiano
yangu.”
“Wahusika ni wazazi wake ambae yeye aliamua kuwasikiliza...
Muungano wa upinzani nchini Kenya umeitisha maandamano ya umma kupinga mapendekezo ya kuifanyia mabadiliko sheria ya uchaguzi.
Wabunge wanaoegemea upande wa serikali wanafanya hima kupitisha mswada
ambao utamwezesha Uhuru Kenyatta kutangazwa rais bila ya kufanyika
uchaguzi ikiwa upinzani utasusia marudio ya uchaguzi tarehe 26 mwezi
Oktoba.
Wanachama wa upinzani walitoka...
Mbunge wa Kilombero mkoani Morogoro, Peter Lijualikali ameshikiliwa na kuhojiwa na polisi wilayani Malinyi kwa saa nne.
Pamoja naye, viongozi wengine watatu wa Chadema walishikiliwa jana
Alhamisi wakidaiwa kufanya mkusanyiko bila kuwa na kibali cha polisi.
Akizungumza leo Ijumaa baada ya kuachiwa mbunge huyo amesema aliamriwa
na polisi kusimama alipokuwa akitoka...
Klabu ya Yanga imeeleza kuwa imejiandaa vyema kuelekea mchezo wa ligi
kuu ya soka Tanznaia Bara kesho dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa
Uhuru jijini Dar es salaam.
Akiongea na Wanahabari leo kwenye makao makuu ya klabu msemaji wa Yanga,
Dismass Ten amesema timu hiyo imejiandaa vya kutosha na inahitaji
pointi tatu muhimu kwenye mchezo huo.
“Timu imejiandaa vizuri,...
Kiongozi wa CUF Mheshimiwa Ali Juma Suleiman ambaye alikuwa Kaimu
Mwenyekiti wa (CUF) Jimbo la Mto Pepo na Mkurugenzi wa Habari na Uenezi
wa (CUF) Wilaya ya Magharibi A. Zanzibar amefariki dunia usiku wa
kuamkia leo katika hospitali ya Mnazi Mmoja.
Baadhi ya viongozi wa (CUF) na wanachama pamoja na wananchi wakiwa
katika hospitali ya Mnazi Mmoja kufuatilia mwili wa...
Mwanamme mmoja nchini Afrika Kusini aliyetambulika kwa jina la Ntando
Mankungwini ametupwa jela mwaka mmoja baada ya kukutwa akifanya mapenzi
na Punda.
Ntando (23) alikutwa usiku wa Jumatano ya septemba 20 mwaka huu kwenye
zizi la nyumba jirani na nyumbani kwao mjini Mount Fletcher, Afrika
Kusini akiwa nyuma ya punda usiku wa manane, kitendo ambacho wamiliki wa
punda...
PENDEZA NA DAR EMPIRE PRODUCTS: BADILI MUONEKANO WAKO NA KUWEKA MWILI WAKO SAWA
KWA PRODUCT ZISIZO NA MADHARA YEYOTE WALA KEMIKALI, MATOKEO NI
KWAARAKA.
1)ONDOA NYAMA UZEMBE MIKONONI, KIUNONI KUPAK
2)TOA KITAMBI KABISA
3) PUNGUZA MWILI MZIMA KUANZIA KILO UNAZOITAJI WEWE
4) ONDOA MICHIRIZI ILIYO SHINDIKANA
5) TOA MAKOVU, CHUNUSI, WEUSI KWENY...
Job Opportunity at Info-Consultancy Ltd, Sales Representative
Job Opportunity at Bluebay Hotels, General Manager
Job Opportunity at World Vision, ICT-Officer
Job Opportunity at Mamujee Products Ltd, Quality Inspector
Job Opportunity at ESAMI, Maintanance Officer
Job Opportunity at Mobisol, Head of Human Resources
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Khalid Mohamed maarufu kama T.I.D,
ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni, kwenye uchaguzi
ujao unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020, na kumng'oa mbunge wa sasa wa
jimbo hilo Maulid Mtulia.
Akizungumza kwenye kipindi cha East Africa Breakfast kinachorushwa na
East Africa Radio, TID amesema sababu inayomsukuma kugombea nafasi...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka wazi viingilio vya
mchezo wa marejeano kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia dhidi ya
Nigeria itakayopigwa, Jumapili Oktoba mosi, mwaka huu.
Mashabiki wataingia kwenye uwanja wa Azam Complex kwa viingilio vya
kawaida kushuhudia mechi hiyo timu ya taifa ya wanawake wenye umri wa
chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ itakayocheza...
Kuelekea katika mashindano ya Afcon U-17 mwaka 2019 ambapo Tanzania
ndiyo wenyeji, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe amesema atahakikisha mashindano hayo yanaenda vizuri
bila ya kuwa na tatizo lolote.
Dkt. Mwakyembe amesema hayo katika kikao cha ufunguzi wa mashindano hayo
yaliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam na kuahidi kufuatilia...
Ikiwa leo Septemba 28, 2017, mwigizaji mahiri Bongo, Wema Isaac Sepetu
almaarufu Keki ya Taifa, anasheherekea birthday yake, mashabiki wake
wameungana kwa pamoja na kumfanyia surprise akiwa saluni kwa kumpelekea
keki na shampeni wakiwa na matarumbeta.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza...
Download wimbo mpya wa Chemical Ft Fid Q & Cliff Mitindo - HERO.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow...
Muigizaji wa Filamu Bongo, Faiza Ally amefunguka kuupa zaidi muziki wa Alikiba kuliko ule wa Diamond.
Faiza amesema hayo katika mahojihano na TBC Fm kwa kueleza kuwa Diamond
ni mburudishaji wa jumla aliyeleta mapinduzi ya kimuziki lakini Alikiba
muziki wake ni bora zaidi.
“Kwanza kati ya muziki wa Diamond na Alikiba, naupenda sana muziki wa
Kiba, muziki wake ni mzuri...
Download wimbo mpya wa Dullayo Ft. Beka Flavour - Caro.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza...
Download wimbo mpya wa Amber LULU Ft. Ice Boy - KUMOYO.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza...
Haji Manara amefunguka na kusema Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog
anahitajika zaidi na Simba kuliko hata yeye anavyohitaji Simba na kudai
ni kocha pekee aliyeweza kuipa Simba vikombe viwili na kuifunga Yanga
mara tatu katika mechi nne walizokutana.
Manara amesema hayo jana wakati akielezea mambo mbalimbali kuelekea
mchezo wao na Stand United ambao unatarajiwa kupigwa...
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amepandishwa kizimbani
leo Alhamisi katika Mahakama ya Mwanzo Mjini Iringa kwa madai ya kumtusi
na kutishia kumuua aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kitwiru, Baraka Kimata.
Mbali na Msigwa pia Diwani wa Viti Maalum, Selestina Johanes na dereva
wa mbunge huyo, Godi Mwaluka wamepandishwa kizimbani kwa kosa hilo.
Akisoma shtaka...
Download wimbo mpya wa Nikki Wa II - Kihasara.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza...
Chadema imesema haitabadili msimamo wake wa kutaka wataalamu kutoka nje
kuchunguza shambulio dhidi ya mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.
Juzi, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba alisema hakuna haja ya
kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa kuwa mazingira
watakayofanyia kazi ni yaleyale na hivyo kuitaka Chadema kuviamini
vyombo vya ndani vya uchunguzi.
Lakini...
Vyombo vya habari nchini Uganda vimezuiwa kuonyesha moja kwa moja matangazo ya Bunge ambalo linaendelea na vikao.
Mkurugenzi wa Tume ya Utangazaji nchini humo, Godfrey Mutabuzi amesema
redio na runinga zote haziruhusiwi kurusha matangazo ya Bunge moja kwa
moja kuanzia leo Alhamisi.
Amesema sababu ya Bunge kutoonyeshwa moja kwa moja ni za kiusalama.
Wabunge nchini Uganda...
Job Opportunity at Mobisol, Head of Human Resources
Job at Shinyanga Urban Water Supply and Sanitation Authority (SHUWASA)
Job Opportunity at Save The Children Tanzania
Job Opportunity at VSO, Programme Manager Youth
Job Opportunity at KP Recruiters, Sales Coordinator
Job Opportunity at KP Recruiters, Sales Manager
Nafasi zingine ingia www.ajirayako.co.tz
TOA MAONI...
PENDEZA NA DAR EMPIRE PRODUCTS: BADILI MUONEKANO WAKO NA KUWEKA MWILI WAKO SAWA
KWA PRODUCT ZISIZO NA MADHARA YEYOTE WALA KEMIKALI, MATOKEO NI
KWAARAKA.
1)ONDOA NYAMA UZEMBE MIKONONI, KIUNONI KUPAK
2)TOA KITAMBI KABISA
3) PUNGUZA MWILI MZIMA KUANZIA KILO UNAZOITAJI WEWE
4) ONDOA MICHIRIZI ILIYO SHINDIKANA
5) TOA MAKOVU, CHUNUSI, WEUSI KWENY...