PEPE AACHANA NA MADRID, ATUA UTURUKI KUJIUNGA NA TIMU YAKE MPYA.
Beki nyota wa Ureno, Pepe ametua nchini Uturuki na kujiunga na Besiktas.
Besiktas ni timu kubwa ya tatu nchini Uturuki baada ya Galatasaray na Fernebahce.
Klabu hiyo imemwaga pauni million 8.3 kumnasa kutoka Real Madrid.…Read More
HATIMAYE YANGA WAMTAMBULISHA IBRAHIM AJIBU.
LEO klabu ya Yanga yenye makazi yake Kariakoo mitaa ya Jangwani na
Tiwga, imemthibitisha rasmi Ibrahim Ajibu kuwa ni mmoja wa wachezaji wa
timu hiyo watakaopambana kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara na michezo ya
kimataifa…Read More
BREAKING NEWS>>>SIMBA YAMTANGAZA KOCHA WAO MPYA.
Siku chache kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu ujao wa 2017/2018, kipa wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars
na Klabu ya Ferroviario de Maputo ya Msumbiji, Mohamed Mwalami ameteuliwa kuwa kocha mpya wa …Read More
0 comments:
Post a Comment