KUFUATIA matukio ya kukamatwa mara kadhaa na baadaye kupigwa risasi na watu wasiojulikana kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Chama cha Wanasheria cha Bar Human Rights Comitee cha nchini Uingereza, kimetuma waraka mzito kwa Rais wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Sehemu ya waraka huo imelaani vikali matukio hayo na kutaka chombo huru kipewe nafasi ya kufanya uchunguzi. Nakala ya waraka huo imetumwa pia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Spika, na Jaji Mkuu wa Tanzania.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment