Friday 7 October 2016

#BURUDANI>>>>>Waandaaji wa Show ya Chriss Brown Mombasa Washindwa Kuelewana na Vanessa Mdee, Atangaza Kutofanya Show Hiyo.Fahamu zaidi hapa.

Mwambaji Vanessa Mdee Ametangaza kuwa hatakuwepo kwenye show kubwa ya Mombasa ambayo awali ilitangazwa atakuwepo sambamba na Chriss Brown, Ali Kiba na Wengine..Sababu alizozitoa ni kuwa waandaaji wa Show hawakutimiza makubaliano yao ya mwanzo.



Ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

0 comments:

Post a Comment