Pamoja na kufungwa 1-0 leo hii vs Zamalek, klabu ya Afrika ya kusini ya Mamelodi Sundwons leo imetawazwa kuwa mabingwa wapya wa kombe la Mabingwa wa Afrika baada ya kupata ushindi wa jumla wa magoli 3-1 vs Mafarao.
Sunday, 23 October 2016
Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Mamelodi Sundwons yatawazwa kuwa mabingwa wapya wa Afrika baada kufunga Zamalek.Fahamu zaidi hapa.
#MICHEZO>>>Mamelodi Sundwons yatawazwa kuwa mabingwa wapya wa Afrika baada kufunga Zamalek.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
MADEIRA WAAMUA KUMPA RONALDO UWANJA WA NDEGE KWA KUWEKA JINA LAKE.FAHAMU ZAIDI HAPA. Ukiwa shujaa wenzetu wanakupa heshima na hiki ndicho kilichotokea kwa mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo. Serikali ya kisiwa cha mji wa Madeira nchini Ureno imeamua kubadili jina la Uwanja wake wa Nd… Read More
Kauli ya TFF Baada ya Mwakyembe kupewa uwaziri wa Michezo.Fahamu zaidi hapa. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limempongeza Mheshimiwa Dk. Harrison Mwakyembe kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Katika taarifa iliyotolewa leo kwa wana habari, imesema kuwa … Read More
ALIYEONEKANA KITASA TOTTENHAM APIGA HAT TRICK BRAZIL IKIITWANGA URUGUA 4-1 NA KUSOGEA KOMBE LA DUNIA.FAHAMU ZAIDI HAPA. Paulinho aliyeonekana ameshindwa kabisa akiichezea Tottenham ya England, amefunga mabao matatu au hat trick na kuisaidia Brazil kuitwanga Uruguay mabao 4-1 kwao. Ushindi huo umeifanya Brazil kufikisha pointi 30 ikiw… Read More
BUKOBA WAANZA HIVI MAANDALIZI YA KUIPOKEA SIMBA ITAKAPOTUA.FAHAMU ZAIDI HAPA. Wanachama wa Simba mkoani Kagera wameanza maandalizi ya kukipokea kikosi chao. Simba itasafiri wikiendi hii kwenda Bukoba kwa ajili ya kuivaa Kagera Sugar katika mechi inayotarajiwa kuwa kali. Wanachama wa Simba, taw… Read More
UNA HOFU NA WAARABU WALIOPANGWA NA YANGA? MSOME KAMUSOKO HAPA.FAHAMU ZAIDI HAPA. Kiungo mkongwe wa Yanga, Thabani Kamusoko, raia wa Zimbabwe, amesema kikosi chao hicho kitaweka historia kwa kuitoa MC Alger ya Algeria na kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga imepangwa kuch… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment