Hatimae leo Msiba wa Masaburi umewakutanisha Lowassa na Kikwete. Kinyume na matarajio ya Wengi kwamba wawili hawa hawaongei kutokana na bifu zao za kisiasa lakini walipo kutana wamekumbatiana wamecheka kwa bashasha sana bila shaka kesho magazeti mengi yatauza picha yao.
Monday, 17 October 2016
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>HIVI NDIVYO LOWASA ALIVYO KUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE LEO HII.FAHAMU ZAIDI HAPA.
#YALIYOJIRI>>>>HIVI NDIVYO LOWASA ALIVYO KUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE LEO HII.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Related Posts:
UTATA Watawala Majaji na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Kujiuzulu..Lissu Afunguka Mazito Juu ya Sakata Hilo. WAKATI Rais John Magufuli jana akitangaza kuridhia maombi ya kuacha kazi kwa majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadiki, wadau wa sheria wamesema huenda kashfa ya Escrow na dawa za kulevya vinahusika… Read More
HUZUNI: Hili Neno "KATA" la Mheshimiwa Rais Limezua na Linazua Hali Mbaya Sana Nchini. Siwezi kumuita Rais wetu Mh. J.P Magufuli kama Dikteta au mwenye Ukatili na asiyewajali watu wake ila kuna kauli zake zimekuwa zikisababisha mateso makubwa sana kwa wananchi wake. Ukiacha zile za wakati wa Njaa na Tet… Read More
Mmiliki wa shule ya Lucky, Waandishi 10 na Meya wa Jiji la Arusha Watiwa Mbaroni. Mmiliki wa Shule, Meya wa jiji la Arusha pamoja na waandishi wa habari 10 wamefikishwa kituo cha polisi (Central) kwa kufanya mkusanyiko bila kibali ndani ya shule ya Lucky Vicent. Kutoka Arusha taarifa zinasema kuw… Read More
SABABU za Malima Kukamatwa Zaanikwa. JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetaja sababu tatu za kumkamata aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa Mkuranga, Adam Malima, katika tukio lililombatana na kufyatua risasi tatu angani. Mtuhumiwa… Read More
MBUNGE Susan Lyimo: Kama Kweli Hostel za UDSM Zimejengwa kwa Mil 500, Nitatoa Hela Zijengwe Zingine. “Naomba CAG afanye ukaguzi maalum katika hostel mpya UDSM na kama kweli jengo moja linalochukua wanafunzi takribani 390 linagharimu Milioni 500 basi mimi nitatoa Milioni 500 serikali ijenge jengo lingine la ghorofa tatu… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment