Msikilize hapa akihojiwa na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove ambapo amezungumzia kwa mkato tetesi za kukamatwa na madawa ya kulevya, bifu na Gigy Money, uhusiano wake na Young Dee na fedha anazolipwa kufanya video.
Sunday, 23 October 2016
Home »
Burudani
» Amber Lulu Afunguka Kukamatwa na Madawa ya Kulevya, Bifu na Gigy Money na Uhusiano wake na Young Dee.Fahamu zaidi hapa.
Amber Lulu Afunguka Kukamatwa na Madawa ya Kulevya, Bifu na Gigy Money na Uhusiano wake na Young Dee.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Mwimbaji Rose Mhando Awashukia Wanaomsema Vibaya. STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha kuwa mwimbaji ambaye nyimbo zake zinawabariki wengi. Rose aliliambia Wikienda kuw… Read More
MAMENEJA Sallam SK, Babu Tale, Mkubwa Fella, Wamesusa Wasanii wao Wanabanana WCB Kwa Diamond. Nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake anabanana WCB. sallam nakumbuka ni meneja wa AY naona kamkimbia anabanana na WCB… Read More
Chid Benz Ageukia Kilimo. Baada ya kukaa nje ya game la bongo fleva kwa muda, Rapa Chidi Benz amefunguka na kusema ameamua kujikita kwenye killimo akishirikiana na mama yake mzazi ili kuweza kujikimu kimaisha. Leo akiwa kwenye dakika 10 za maanga… Read More
VIDEO:Nikki Mbishi Atoa Video na Kuwadiss Waliodai Kutekwa, na Bashite. Mwanamuziki wa miondoko ya kufoka foka, Nikki Mbishi au muite Baba Malcom amechia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kama Unatafuta Kiki. Wimbo huu umewa-diss wasanii mbalimbali nchini ambao anadai kuwa wana… Read More
Good News: Ali Kiba Atangazwa Kuwa Mmiliki wa Kampuni ya Rockstar4000. GOOD NEWS: #DirectorKiba ; Baada ya kufanya kazi na kampuni ya usimamizi wa kazi zake ya #Rockstar4000 kwa takribani miaka 6, usiku wa jana King Kiba alitangazwa rasmi kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni ya #Rockstar4000 … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment