Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Majibu ya hospital yameonyesha Saidi Mrisho aliyejeruhiwa macho Buguruni hatoweza kuona tena katika maisha yake.Fahamu zaidi hapa.
Majibu
yametoka na Said, mhanga wa kutobolewa macho, ameturuhusu tuyaweke wazi
Majibu ni mabaya ila tumeyapokea itabidi tukubaliane na matokeo kwamba
ndugu yetu Hataweza kuona tena kwa maisha yake yote.
Serikali ya Mkoa imejitolea
Kumpatia matibabu ya macho ya bandia kwa ajili ya kutengeneza shape ya uso wake tena.
•Kumpatia Elimu ya kusoma tena kujifunza kwa alama ili aweze kuendana na mazingira.
•Serikali ya Mkoa imetoa Gari kwa ajili ya kumsaidia kipindi chote atakachokuwa kwenye matibabu yake
•Vilevile Serikali yetu itatoa kiasi cha Shilingi milioni kumi kama
sehemu ya Mtaji kabla ya kupatwa na ulemavu alikuwa kinyozi hivyo kuna
mdogo wake yupo atamsaidia kwa kuwa mwanzoni walikuwa wakifanya kazi
pamoja.
Chanzo: Clouds Fm
0 comments:
Post a Comment