Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>KIM Kardashian Aapa Kutoonesha Tena Mali zake Kwenye Mitandao ya Kijamii.Fahamu zaidi hapa.
Kim Kardashian ameapa kutoonesha tena mali zake kwenye mitandao ya kijamii.
Hiyo ni baada ya watu wengi kudai kuwa ndio chanzo cha kuvamiwa Jumatatu
hii jijini Paris na kuporwa mali zenye thamani za dola milioni 11 kwa
mtutu wa bunduki.
Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Kim amekubali ni kweli alikuwa
amezidisha kuringishia mali zake kwenye mitandao hiyo. Muda mfupi kabla
ya kuvamiwa, Kim aliionesha pete ya $4.5m aliyonunuliwa na mume wake
Kanye West. Pete hiyo ilikuwa miongoni mwa vitu vilivyoibwa.
TMZ imedai kuwa Kim atakuwa mapumzikoni mwa mwezi mmoja na akirejea
atakuwa na mabadiliko makubwa katika jinsi anavyotumia mitandao ya
kijamii.
Related Posts:
Irene Uwoya Alamba Shavu Nono...Ateuliwa Kuwa Balozi.
KAMPUNI ya simu za mkononi ya itel mobile Tanzania leo imetiliana saini
na msanii wa Bongo Muvi, Irene Uwoya kuwa balozi wake atakayeitangaza
kampuni hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Akizungumza katika hafla hiyo Hafla… Read More
Baada ya Flora Kumkimbia...Mbasha Adai Hana Hamu na Ndoa Tena.
BAADA ya hivi karibuni aliyekuwa mkewe, Flora Mbasha kuolewa na mwanaume
mwingine, Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mbasha amefunguka kuwa hana hamu
na ndoa hivyo hawezi kuwa na haraka ya kuwa na mke kwa sasa kwani
anahofi a … Read More
Mzee Yusuph Awataka Mashabiki wa Taarabu Kufuta Nyimbo Zake Zote Kwenye Simu Zao Ili Waepukane na Dhambi.
Aliyekuwa mfalme wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph amefunguka na
kueleza kuwa watu wote walio na nyimbo zake kwenye simu zao wafute na
kuacha kusikiliza ili kuepuka dhambi.
Katika mahojihano na kipindi cha Mitik… Read More
Amber Lulu kuwa bosi.Video Queen kutoka Bongo, Amber Lulu amebainisha yupo mbioni kufungua
kampuni yake kwa ajili ya kuwasimamia warembo watakao tumika katika
video za wasanii.
Amber Lulu
Akipiga stori na Clouds Fm, Amber Lulu amesema ware… Read More
Diamond Amfariji Zari Kufuatia Msiba Mzito Alioupata.
Diamond Platnumz ametuma ujumbe wa kumfariji mama watoto wake wake,
Zari, kufutia msiba mzito wa Ivan ambaye ni baba watoto watatu wa Zari.
Diamond akiwa na Zari pamoja na watoto wa marehemu, Ivan. Picha hii ni yazamani
… Read More
0 comments:
Post a Comment