Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Jerry Muro arudi tena TBC kutangaza.Fahamu zaidi hapa.
Yule msemaji mkuu wa Yanga African hatimaye amerudi tena kwenye kazi
yake ya utangazaji aliyokuwa akifanya hapo awali katika television ya
Taifa.
Chanzo: TBC
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Dr. Shein Atia Saini Sheria ya Gesi na Mafuta.Asema Wanaoikosoa ni Wachoyo na Hawana Nia Njema na Zanzibar .Fahamu zaidi hapa.
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, jana amesaini sheria ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia ya Zanzibar.
Mbali ya kusaini sheria hiyo, amewapiga kijembe wanaoikosoa sheria hiyo kuwa ni wachoyo na wa… Read More
#YALIYOJIRI>>>Meya wa West Virginia ajiuzulu baada ya kufurahia andiko lililomfananisha mke wa Obama na Nyani.Fahamu zaidi hapa.
Meya
wa mji wa Clay nchini Marekani, Beverly Whaling amejiuzulu wadhifa huo
baada ya kuunga mkono maandishi yenye ubaguzi wa rangi kwenye facebook
dhidi ya mke wa Rais Barack Obama, Michelle Obama.
Meya
huyo a… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Dr.Congo Kabila atangaza kutowania Urais katika uchaguzi mkuu ujao.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Joseph Kabila, amewahakikishia raia
wake kwamba ataheshimu Katiba ya nchi na kwamba hatawania urais katika
Uchaguzi mkuu ujao unaotegemewa kufanyika mwaka 2018.
Akilihutubia Bunge … Read More
#YALIYOJIRI>>>>LOWASSA AFICHUA SABABU YA KUTOONEKANA KATIKA MSIBA WA SITTA NA MUNGAI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametoa ufafanuzi kuhusu
kutoonekana kwake kwenye misiba ya viongozi wawili wa zamani serikalini,
Samuel Sitta na Joseph Mungai.
Sitta, aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, … Read More
#YALIYOJIRI>>>Bodi ya Mikopo(HESLB) Yatangaza majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014....Bofya Hapa Kuyaona.Fahamu zaidi hapa.
Bodi
ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inatangaza orodha ya majina ya
Wadaiwa Sugu ambao wamehitimu katika Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu
kuanzia mwaka wa masomo 1994/1995.
Wasugu
hao wanapewa siku 30 k… Read More
0 comments:
Post a Comment