Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Lulu Adai Amekataa Dili Kadhaa Kutoka Kwa Wasanii wa Nigeria.Fahamu zaidi hapa.
Msanii
mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael amefunguka kwa kudai
kuwa tangu alipopata tuzo ya AMVCA 2016 amekataa dili kadhaa kutoka kwa
wasanii wa muziki wa Nigeria.
Muigizaji huyo ameitaja sababu ya kukataa dili hizo imetokana na yeye si mwanamuziki wala video vixen.
“Nimepata dili kama mbili tatu kutoka Nigeria za kuigiza filamu na kuna
wengine walidhani nafanya muziki,” amekiambia kipindi cha Clouds E cha
Clouds TV.
“Nimeshatafutwa na wanamuziki wa Nigeria ambao wengine walitaka niimbe
na wengine nitokee tu kwenye video zao, siwezi nikawataja,” alisema.
March mwaka huu, Single Mtambalike (Rich Rich) na Elizabeth Michael
(Lulu) walishinda tuzo za African Magic Viewers’ Choice Awards
(AMVCA2016) zilizotolewa nchini Nigeria.
Related Posts:
Isabela ala bata Uganda na Ex wa Aunt Ezekiel, Jack Pemba.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa filamu Aunty Ezekiel, Jack Pemba
ameonekana akila bata nchini Uganda na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa
Luteni Karama, Isabela Mpanda.
Muimbaji huyo wa Kundi la Scorpion Girl pamoja na wenzake… Read More
#BURUDANI>>>>Jibu la Mwimbaji Emmanuel Mbasha Kuhusu Kurudiana na Flora Mbasha.Fahamu zaidi hapa.
Kama utakuwa unakumbuka mnamo September 21,2015 moja ya stori kubwa
iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya
Kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa
anakabiliwa na … Read More
Mashabiki Watokwa na Povu Baada ya Wema Kuwataja Wanaume Anaowafagilia Akiwemo Diamond Huku Idriss Akiwa Hayupo Katika List.Fahamu zaidi hapa.
Hii ndio picha aliyoweka Wema Sepetu Kwenye page yake Kama MCM, ikiwa na maana ya Man Crash Monday...
Mashabiki wake wengi walihoji kwanini Diamond yupo kwenye list na huku
mpenzi wake wa sasa Idriss hayupo katika list hi… Read More
#BURUDANI>>>Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili
iliyopita wawili hao wameonekana kwenye picha mbali mbali wakijivinjari
Honey Moon huku mavazi yao yakileta mabishano kama kweli ni Baba
Mchungaj… Read More
#BURUDANI>>>>Alikiba Kuisimamisha Dunia August 25.Fahamu zaidi hapa.
Hii ni kwa wale wakuu wote waliochoshwa na mziki wa maigizo, Kiki za
kipuuzi, sarakasi, show za play back, video za kucopy na kuungaunga,
show off za kitoto na mziki wa big jii.
Mark the date 25 August mwaka huu, Kingkib… Read More
0 comments:
Post a Comment