Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>>Paul James ‘PJ’ arejea Clouds FM.Fahamu zaidi hapa.
Paul James ‘PJ’ amerejea tena Clouds FM akitokea EFM. Anakuwa mtangazaji
wa pili wa EFM kuchukuliwa na Clouds katika kipindi cha mwezi mmoja,
baada ya Kicheko.
PJ aliyeondoka Clouds mwanzoni mwa mwaka huu akiwa na Gerald Hando,
ametambulishwa rasmi Jumatano hii. Anamfuata mtangazaji mwingine
aliyehama Clouds akaenda EFM na kisha kurejea tena kwenye kituo hicho,
Gardiner G Habash.
Mtangazaji huyo anayesifika kwa uhodari wa kuchambua magazeti, alikuwa
na mchango mkubwa wa kukifanya kipindi cha Joto la Asubuhi cha EFM
kujipatia umaarufu ndani ya muda mfupi. Kupokonywa kwa PJ EFM
kunachocheza zaidi uhasama kati yake na Clouds FM.
Related Posts:
Tunda Afichwa na Penzi la Mbunge Apangiwa Apartment.
BAADA ya Dishi Bovu kunasa ubuyu kwamba mwanadada, Tunda Sebastian kuwa
anatoka na mbunge mmoja hivi anayemiliki hoteli ya kifahari jijini Dar
na kumpangishia ‘apartment’ maeneo ya Tegeta, liliamua kutega antena
zake ili… Read More
VIDEO: Zamaradi Mketema Afunguka kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Ndoa yake, Ruge, Clouds na Vingine *Exclusive.
Kwenye Chill na Sky, Zamaradi Mketema anafunguka kwa mara ya kwanza
kuhusu ndoa yake, uhusiano wake na baba wa watoto wake wawili, Ruge
Mutahaba, alivyojisikia baada ya Adam Mchomvu na Soudy Brown kuiponda
ndoa yake na m… Read More
Wakili Kibatala ajitoa kesi ya Wema Sepetu.
Wakili
Peter Kibatala ameiandikia barua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,
akiomba kujitoa kumuwakilisha msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu
katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili.
Hatua
hiyo imekuja leo Jumatan… Read More
Diamond Ashinda Tuzo ya Best Male MVP Nigeria.
Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameshinda tuzo kutoka Kituo cha Runinga cha Soundcity.
Muimbaji huyo ameshinda katika kipengele cha Best Male MVP ambapo
alikuwa akichuana na wasanii wengine kama Davido, RunTown, … Read More
Bill Nass Amuwezesha Uchebe Ili Kupambana na Nuh Mziwanda.
Msanii wa Bongo Fleva anayefanya vizuri katika game kwa sasa, Billnass
amemtaka mume wa msanii Shilole, Uchebe kupambana pale inapobidi ndiyo
maana ameamua kumzawadia vifaa vya mazoezi ili hata kupambana na Nuh
Mziwanda … Read More
0 comments:
Post a Comment