Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>BREAKING News: Simba, Yanga Marufuku Uwanja wa Taifa.Fahamu zaidi hapa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezifungia
rasmi timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa Taifa mpaka pale
zitakaporuhusiwa tena na Serikali.
Nape ametoa amri hiyo leo Jumapili ikiwa ni siku moja baada ya mashabiki
wa klabu ya Simba, kung'oa viti vilivyopo kwenye majukwaa ya uwanja huo
kwa kile walichokidai kupinga uamuzi wa Refa, Martin Saanya
aliyechezesha mechi hiyo.
"Simba na Yanga hawatoutumia tena uwanja huu mpaka pale Serikali itakapoona kuwa mazingira yanaruhusu," alisema Nape.
Related Posts:
#MICHEZO>>>MAGURI AANZA KAZI OMAN, ATUPIA BAO TIMU YAKE IKISHINDA BAO 2-1.Fahamu zaidi hapa.
MAGURI AKISHANGILIA BAADA YA KUFUNGA BAO.
Mshambuliaji Mtanzania, Elius Maguri ameanza kuonyesha cheche zake nchini Oman.
Maguri
ameifungia timu yake ya Dhofar SC ya nchini Oman bao moja wakati
ikishinda 2-1 k… Read More
#MICHEZO>>>Rage amemtaka Hans Poppe kumuomba radhi la sivyo atampeleka Mahakamani.Fahamu zaidi hapa.
Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden Rage, amemtaka Mwenyekiti wa
kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe kumuomba radhi ndani ya
siku tatu.
"Nadhani mtu mwendawazimu tu anaweza kufanya hivyo, mke wangu hana… Read More
#MICHEZO>>>ANDY CARROLL APIGA MBILI, LAKINI JUVENTUS YAINYOOSHA WEST HAM BAO 3-2.FAHAMU ZAIDI HAPA.
WEST HAM (4-2-3-1): Adrian
6; Antonio 6 (Payet 74 6), Reid 5 (Oxford 46), Ogbonna 6 (Collins 46
5.5), Byram 6.5 (Page 86); Cullen 6.5 (Browne 83), Nordtveit 6; Feghouli
6 (Burke 46 6), Noble 6 (Quina 60 6), Va… Read More
#MICHEZO>>>>Ushindi wa KRC Genk ya Samatta Uliyoipeleka round ya 3 Europa League.Fahamu zaidi hapa.
Ni muendelezo wa good news kwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania
Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta
kuwa sehemu ya kikosi cha KRC Genk kilichoisaidia timu kupata matokeo
ugenini dhid… Read More
#MICHEZO>>>Takukuru yafafanua soo la Aveva.Fahamu zaidi hapa.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imefunguka
rasmi sababu za kumshikilia na kumweka ndani Rais wa Simba, Evans
Aveva.
Aveva alishikiliwa tangu juzi Jumatano na kulala ndani kwenye Kituo cha
P… Read More
0 comments:
Post a Comment