Home »
Habari Moto
» Polisi Wavamia Nyumba ya Davido Marekani...Mashabiki Wamuokoa Asikamatwe.Fahamu zaidi hapa.
Mkali wa muziki nchini Nigeria, David Adeleke ‘Davido’, amedai kwamba
kutokukamatwa kwake na polisi kumetokana na mashabiki wake.
Wiki iliyopita, Davido alikuwa kwenye nyumba yake nchini Marekani,
lakini polisi walikuwa na wasi wasi na msanii huyo kumiliki nyumba hiyo
kwa kuwa walikuwa hawamjui kama yeye ni msanii.
“Niwe muwazi, mashabiki wangu wamenisaidia baada ya kukamatwa na polisi
kwa sababu namiliki nyumba ya thamani kubwa wakitaka kufahamu ninakopata
fedha.
“Ilikuwa ngumu kunielewa lakini walikuja kukubali baada ya kuwaonyesha
idadi kubwa ya mashabiki zaidi ya milioni 100 wanaofuatilia kazi zangu
kupitia mtandao wa ‘You Tube’.
“Nawashukuru sana mashabiki wangu nawapenda sana na nitaendelea
kuwapenda katika maisha yangu,” aliandika Davido kwenye mtandao wa
Instagram
Related Posts:
#Breaking News>>>Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016.Fahamu zaidi hapa.
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016.
Wanafunzi
waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla
ya wanaf… Read More
#YALIYOJIRI>>>Serikali Yasitisha Tamko la Utoaji wa Chakula Muhimbili.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ,
imesitisha tamko la utoaji wa vyakula kwa wagonjwa watakaolazwa katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kupisha utafiti wa kina kuhusu
h… Read More
#YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu, David Cameron atangaza kujiuzulu baada ya Uingereza kupiga kura ya kujitoa rasmi kwenye Umoja wa Ulaya(EU).Fahamu zaidi hapa.
Waziri
mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya
kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika Muungano
wa Ulaya (EU).
Cameron akiwa amejawa na huzuni amesema kuwa a… Read More
Picha 19 mazoezi magumu zaidi ya majeshi ya nchi tofauti duniani.Fahamu zaidi hapa.
Mazoezi kwa wanajeshi ni kitu cha muhimu sana. Majeshi duniani
huhakikisha kuwa wanawafunza wanajeshi wao mafunzo ya kuikakamavu kuweza
kuwajenga kimwili na kiakili ili kuweza kupambana na hali tofauti
tofauti wanazokumb… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli Azindua Mwelekeo Mpya wa Jeshi la Polisi.Fahamu zaidi hapa.
RAIS
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli ameliagiza jeshi
la Polisi kutumia mbinu za kisasa katika kukabiliana na uhalifu na
kuifanya nchi kuwa sehemu salama nyakati zote.
Dk
Magufuli ameonesha ku… Read More
0 comments:
Post a Comment