Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>SHABIKI WA DORTMUND AFIA UWANJANI AKIISHANGILIA TIMU YAKE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kulikuwa na hali ya ukimya kwa muda wakati Borussia Dortmund ikipata
ushindi wa bao 2-0 mbele ya Mainz kwenye ligi ya Bundesliga siku ya
Jumapili.
Shabiki mmoja wa Dortmund alipata shambulio la moyo heart attack
wakati wa kipindi cha kwanza katika mchezo huo na hatimaye akapoteza
maisha.
Uwanja mzima uliokuwa na mashabiki zaidi ya 80,000 ulibaki kimya
pamoja na mashabiki wa Mainz waliosafiri kwenda kwenye dimba la Signal
Iduna Park kuishuhudia timu yako, wakifanya hivyo kwa kuheshimu
kilichomkuta shabiki mwenzao wa soka.
Kwenye dakika ya mwisho ya kipindi cha pili, mashabiki wa Dortmund
waliimba wimbo maarufu wa ‘You’ll Never Walk Alone’ ambao huimbwa na
mashabiki wa Liverpool.
Related Posts:
Niyonzima Anusurika Kifo Baada ya Kupata Ajali.
KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima amenusurika katika ajali aliyoipata eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam.Niyonzima amepata ajali hiyo juzi baada ya gari lake kupiga bonde na kupoteza mwelekeo wakati akirejea nyumbani kwake… Read More
Yondani, Chirwa, Tshishimbi Wapigwa Stop na CAF.
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa taarifa kwa klabu za Yanga na Wolaitta Dicha SC ya Ethiopia ambayo imesema wachezaji wanne wa Yanga na wawili wa Wolaitta hawatacheza katika mechi kati ya timu hizo… Read More
MBONGO ASHINDA UBINGWA WA DUNIA NGUMI ZA KULIPWA, AMTWANGA MZUNGU.
Bondia wa ngumi za Kulipwa nchini, Bruno Tarimo 'Vifuaviwili' amewasili nchini leo mchana akitokea Australia baada ya kufanikiwa kushinda mkanda wa ubingwa wa WBA Oceania kumtwanga kwa pointi mpinzani… Read More
Diamond, Samatta Waitwa Marekani Kutunukiwa Tuzo.
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul maarufu Diamond Plutnumz na mwanasoka wa kimataifa, Mbwana Samattapamoja na Watanzania watatu na raia wa Marekani, wameteuliwa kutunukiwa tuzo katika tamasha lililoandaliwa na Watan… Read More
Baada ya Kuumia Mazoezini Jana Jonas Mkude Haya Hapa Majibu ya Daktari.
Kiungo mchezaji wa Simba, Jonas Mkude, aliumia jana wakati kikosi hicho kikijiandaa na mazoezi kuelekea mchezo ujao wa ligi dhidi ya Njombe.Mkude aliumia wakati akiwania mpira na kiungo mshambuliaji, Mzamiru Yassin na kuepe… Read More
0 comments:
Post a Comment