Home »
Habari Moto
» Director Nisher; Nini Kimepoteza Umaarufu Wa Kazi Zake.Fahamu zaidi hapa.
Director nisher nakumbuka kipind kile unafanya Mama Yeyo, Jikubali, na
Nje ya box. Kila mtu anayependa muziki mzuri basi sio rahisi kukosa
kulitaja jina lako ukipost kipande cha video tu insta watu
wanakurupusuana kila kona waje wakiangalie Video zako zilibamba sana
mpaka kupigwa channel 0 Wasanii wote walikuwa wanakuja chuga kupata
huduma yako.
Mambo yalivyo sasa: Nisher huna fans yaan umebaki kama gofu, watu
wanamuamini Hanscana, Khalfan, na Joowzey wanakuacha wewe, nimepita jana
Youtube Video yako ya mwisho ina viewers elfu 12, nini tatizo? Ndo
kusema baba ako (Geordavie) hapendi unachofanya? ulilewa sifa ulipokuwa
on top? au ndo Hanscana na Khalfan wamekufunga kwenye chupa?
Related Posts:
Shahidi wa pili atoa ushahidi Kesi ya Tundu Lissu.......Neno ‘dikteta uchwara’ Latikisa.Fahamu zaidi hapa.
Kesi
ya uchochezi dhidi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu jana
imeendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
ambapo upande wa Mashtaka umetoa ushahidi wa pili.
Lissu
anakabiliwa na… Read More
Mkuu wa Wilaya aagiza kukamatwa mwandishi wa habari wa ITV.Fahamu zaidi hapa.
Mwandishi
wa habari wa Kituo cha ITV mkoani Arusha, Khalfan Lihundi, anashikiliwa
na polisi katika Kituo cha Polisi Usa River, wilayani Arumeru kwa
tuhuma za kuandika habari zinazodaiwa kuwa ni za uchochezi.
Lihundi
… Read More
Godbless Lema augua ghafla gerezani......ashindwa kufika mahakamani Kusikiliza Kesi Zinazomkabili.Fahamu zaidi hapa.
Kesi
iliyokuwa isikilizwe 21 Disemba 2016 inayomkabili Mbunge wa Arusha
Mjini, Godbless Lema pamoja na mkewe, Neema Lema wakituhumiwa kumtukana
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo imeahirishwa kutokana na hali ya
Godb… Read More
Rais Magufuli Akataa Shule Kuitwa Jina Lake.Fahamu zaidi hapa.
Rais John Magufuli amekataa shule ya msingi iliyojengwa hivi karibuni eneo la Bunju, Wilaya
ya Kinondoni kuitwa kwa jina lake badala yake ameagiza iitwe kwa jina la
Mkuu wa wilaya hiyo, Ally Hapi.
Taarifa ya bad… Read More
ALIYEBADILI Dini Afariki Baada ya Kubatizwa.Fahamu zaidi hapa.
Mkazi wa Mailisita wilayani Hai, Paulo (35) amekufa maji baada ya kuzama
katika mto Kikafu, dakika chache baada ya kubadili dini na kubatizwa na
maji ya mto huo kwa imani ya dini ya Kikristo.
Paulo ambaye jina lake la aw… Read More
0 comments:
Post a Comment