Home »
Habari Moto
» Picha za Mke wa Christian Bella ajifungua mtoto wa kiume nchini Sweden.Fahamu zaidi hapa.
Christian Bella ana mtoto anaitwa jordan (7) Hance (2) pamoja na Christopher ambae amezaliwa hivi kalibuni.Hii habari ameiyandika kwenye ukulasa wake wa instagram.
"
Asante mungu kwa kunipa mtoto nina furaaa sanaa.Alizaliwa jana usiku Hospital Karolinska ,stockholm Sweden karibu sana my boy Christopher penda sn wewe sanaa".
Mke wa Christian Bella anaishi nchini Sweden.
Related Posts:
SIRI ya Marekani Kufanya Njama za Kutaka Kumuua Rais wa Korea Kaskazini Zavuja.
Maajenti wa Marekani na Korea Kusini wanapanga njama ya kumuua kiongozi
wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, vyombo vya habari nchini humo vimesema.
Taarifa kutoka wizara ya usalama nchini Korea Kusini imesema mawakala wa
kun… Read More
GARI LA MBUNGE MH SEIF GULAMALI LAPATA JALI MBAYA SOMA HABARI.
Gari la Mbunge wa Manonga Igunga, MH Seif Gulamali. Limepata ajali
maeneo ya Ibologero likiwa na dareva wake pamoja na kijana mwingne,
wakati wakirudi toka Mwanza walikompeleka mbuge huyo na kumwacha.
Wakati dereva… Read More
Soma Nafasi za Kazi Zilizotangazwa Siku ya Leo.
Bonyeza Link Zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply
Job Opportunity at Save The Children, Finance Assistant
Job Opportunity at VSO Mtwara, Volunteer
Job Opportunities at MHS Massana Hospital
Job Opportunity at Mtibwa Sugar … Read More
#YALIYOJIRI HIVI PUNDE AJALI MBAYA YATOKEA ARUSHA,WANAFUNZI NA WALIMU WAPOTEZA MAISHA
Wanafunzi zaidi ya 20 wapoteza maisha huko Arusha, kufuatia ajali ya gari wakati wakielekea Karatu katika kufanya mitihani.
Kwa
mujibu wa taarifa ambazo MsindiForums imezipata muda huu inaeleza
kuwa, ajali … Read More
SAKATA la Vyeti Feki: Watusmishi 6 Wafungwa Jela, Zahati 2 Zafungwa kwa Kukosa Watumishi Maana Wote Walifoji Vyeti.
Uamuzi wa Serikali wa kuwafukuza kazi watumishi wanaodaiwa kughushi
vyeti, umezidi kuchukua sura mpya, baada ya watumishi sita wa
Halmashauri ya Kilwa mkoani Lindi kufungwa jela mwaka mmoja kila mmoja
kwa kosa la … Read More
0 comments:
Post a Comment