Hili kundi ambalo lilikuwa linamkimbiza kwa mawe.
Kijana ambae bado jina lake sijalipata kwa amepona kwa kuitiwa mwizi,kwa muji wa watu ambao nimewauliza na kusema huyo kijana ambae walikuwa wanamkimbiza hakuwa mwizi bali mmoja kati ya hao walio wanamkimbiza mwizi,ndio alikuwa anadaiwa na huyo kijana ambae ambae anasemekana mwizi,hili limetokea maeneo ya MABIBO MWISHO DAR.
0 comments:
Post a Comment