Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>CEO wa Shirika la Ndege FastJet Afukuzwa Kazi, Kampuni Hatarini Kuishiwa Fedha.Fahamu zaidi hapa.
CEO
wa FastJet kuacha kazi wiki hii baada ya wawekezaji kulalamika kuwa
shirika lina gharama nyingi, ikiwa ni pamoja na kuwa na makao makuu
London Gatwick pamoja na kwamba shirika linafanya kazi zake Tanzania.
Mwekezaji mkubwa Haji Ioannou amesema kuna hatari kampuni hiyo kuishiwa hela mwaka huu ndani ya miezi sita.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Godbless Lema ni Shujaa wa Siasa Tanzania Asiyepigia Goti Watawala.Fahamu zaidi hapa.
Kwako Comrade G.Lema; Najua mapito unayopitia kwasasa, ni mapito makubwa
sana yenye historia kubwa inayochochea hasira na kuamsha hisia Kali.
Nataka ujue na dunia ijue upo Mahabusu siyo kwasababu ya kubaka ama
kuzini, up… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Alichokizungumza Ester Bulaya Baada ya Mahakama Kuu Kumpa Ushindi dhidi ya Wasira.Fahamu zaidi hapa.
November 19, 2016 Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Ester Bulaya
iliyofunguliwa na wapiga kura wa jimbo la Bunda dhidi ya aliyekua
mgombea wa CCM Stephen Wasira ilitolewa hukumu yake ambapo Mahakamu Kuu
ilimpa ushindi… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Steven Wassira Chali....Ester Bulaya Ashinda Kesi ya Kupinga Ushindi WakeFahamu zaidi hapa.
Hatimaye
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imetoa uamuzi wa kesi ya kupinga
matokeo ya uchaguzi wa Ubunge uliompa ushindi Mbunge wa Bunda Mjini,
Esther Bulaya (Chadema) dhidi ya Spephen Wassira (CCM).
Kesi
hiyo y… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mamlaka ya Bandari Bandari yapokea boti mbili za kuegesha meli.Fahamu zaidi hapa.
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepokea boti
mbili za kisasa za kuhudumia meli kutoka China zitakazotumika katika
Bandari za Dar es Salaam na Tanga.
Meneja Mawasiliano wa TPA, Janeth
Ruzangi ali… Read More
#YALIYOJIRI>>>PAUL Makonda "Mnasubiria Nitumbuliwe, Mimi Najua Nipo Kwa Kusudi la Mungu".Fahamu zaidi hapa.
Baada ya kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusema atamwajibisha Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda iwapo hatasimamia ipasavyo
kukomesha matumizi ya dawa za kulevya, aina ya shisha, Makonda afunguka.
Akiongea… Read More
0 comments:
Post a Comment