Home »
Habari Moto
» #Breaking News>>>Picha 4 za ajali iliyotokea Tabata Matumbi Dar na kuua watu asubuhi ya leo.Fahamu zaidi hapa.
Ajali
Mbaya imetokea leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam
ikihusisha malori mawili na daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto
kuelekea Ubungo
Kwa mujibu wa mganga mkuu Hospitali ya Amana, Dr Stanley Binagi, watu wanne wamefariki dunia huku 25 wakijeruhiwa.
Inaelezwa
kuwa, Chanzo cha ajali hiyo, ni Lori lililobeba Mchanga ambalo
liliikuwa kwenye mwendo kasi, kwenda kuligonga Daladala hilo kwa nyuma,
hali iliyopelekea Daladala hilo kukosa mwelekeo na kwenda kugongana na
Lori lingine lililokuwa limepakia Ng'ombe waliokuwa wakipelekwa Pugu
Mnadani.
Related Posts:
Aeshi Hilaly (Mb-CCM): Nilitishwa na Makonda Hadi Sasa Naogopa Kwenda Dar kwa Usalama Wangu.Fahamu zaidi hapa.
Mimi Leo nilikuwa sitaki kusema, lakini ngoja tu niseme, nimetishwa na
mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, aliniambia nyie wabunge ni wanafiki na
nitawashughulikia na nitaanza na wewe, mimi leo Dar naiogopa.
Niko tayari ku… Read More
Mbunge wa Chemba Juma Nkamia Amshangaa Mwakyembe Kuhudhuria Press Conference ya Roma.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge wa Chemba Juma Nkamia (CCM) amemshangaa Waziri wa Waziri wa
Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Mwakyembe kuhudhuria press
conference
Binafsi ya Msani Roma Mkatoliki,na kusema kuwa kitendo hicho kinazidisha masw… Read More
Mfumuko wa Waongezeka kwa Asilimia 1.4..Sasa Umefikia Asilimia 6.4.Fahamu zaidi hapa.
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini kimepanda kwa wastani wa 1.4 kutoka
asilimia 5 ilivyokuwa mwezi Februari hadi asilimia 6.4 kwa mujibu wa
taarifa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini (NBS).
Kwa mujibu wa taarifa h… Read More
Hivi Ndivyo Naibu Spika Alivyokataa Kata Kata Kuruhusu Bunge Kujadili Suala la Utekaji wa Kina Roma..Akidai Jambo Hilo Halina Maslahi kwa Nchi.Fahamu zaidi hapa.
MBUNGE wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), amedai kupewa taarifa na
mawaziri kuwa muda wowote anaweza kuuawa na kikundi maalumu
kinachoendesha utekaji nchini.
Aidha, Bashe amedai kuwa mbali na yeye kuwa katika hatari… Read More
Bashe: CCM Acheni Unafiki, Mimi Nimeshakamatwa na Watu wa Usalama. Nipo Tayari Mniondoe Kwenye Chama Chenu.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki, akisema yupo
tayari kufukuzwa ila kweli alikamatwa na maafisa wa usalama wa taifa.
'CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama mnasema hawakamati, … Read More
0 comments:
Post a Comment