Mbwana Samatta mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji March 13 alipata nafasi ya kuanza na kikosi cha Genk kwa mara ya kwanza na hili ndio goli lake la kwanza akicheza first eleven na la pili toka ajiunge na klabu hiyo.
Monday, 14 March 2016
Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Video ya goli la Mbwana Samatta alipoisaidia KRC Genk kuibuka na ushindi wa goli 4-1.Fahamu zaidi hapa.
#MICHEZO>>>Video ya goli la Mbwana Samatta alipoisaidia KRC Genk kuibuka na ushindi wa goli 4-1.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
TAIFA STARS YAITWANGA LESHOTHO KWA MIKWAJU YA PENALTI NA KUSHIKA NAFASI YA TATU COSAFA. Taifa Stars imefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika michuano ya Kombe la Cosafa baada ya kuichapa Lesotho kwa mikwaju ya penalti. Stars imeibuka na ushindi wa mikwaju 4-3 dhidi ya Lesotho baada ya dakika 90 za bila … Read More
INAUMA SANA...Hatimaye Dogo Mshabiki wa Mpira Aliyekuwa anaumwa Kansa Afariki Dunia. Shabiki wa klabu ya Sunderland wa umri wa miaka sita Bradley Lowery, ambaye tatizo lake la kiafya liligusa nyoyo za wengi amefariki dunia. Bardlay alikuwa anaugua ugonjwa ambao wa Kiingereza hufahamika kama neuroblastoma … Read More
Mchezaji Wayne Rooney Aacha Simanzi Kubwa Man United: Aungana na Everton Tayari Kuja Tanzania. Tayari klabu ya Everton imethibitisha kumalizana na mshambuliaji wa Man United, Wayne Rooney kwa kumrejesha kwenye klabu hapo kwa mkataba wa miaka miwili. Kupitia mtandao wa Klabu ya Everton taarifa zimesema wamefi… Read More
ZAMBIA YAINYIMA TAIFA STARS NAFASI YA FAINALI KOMBE LA COSAFA, YAICHAPA MABAO 4-2. Taifa Stars imeshindwa kutinga fainali ya Kombe la Cosafa baada ya kufungwa kwa mabao 4-2 na Zambia. Stars ilianza kupata bao kupitia Erasto Nyoni lakini Zambia wakasawazisha na kuongeza na kwenda mapumziko wakiwa mbe… Read More
ANGALIA VIDEO YA AJIBU AKIWEKA WINO KUJIUNGA NA WANA YANGA ...NIMEKUWEKEA HAPA. Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa &nbs… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment