Home »
Michezo
» YANGA IMETINGA NUSU FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP BAADA YA KUING'OA TUSKER KWA MIKWAJU YA PENALTI.
Yanga imetinga nusu fainali ya Sports Pesa Super Cup kwa mikwaju ya penalti.
Yanga imeing'oa Tusker ya Kenya kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila bao.
Kipa wa Yanga, Deo Munishi maarufu kama Dida alichangia kung'olewa kwa Tusker baada ya kupangua moja ya mikwaju ya Wakenya hao.
Sasa Yanga itakutana na Wakenya wengine, safari hii ni AFC Leopards ambao wameing'oa Singida United kwa mikwaju ya penalti pia.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
Waziri Mwakyembe akutana na uongozi wa Simba, wakubaliana haya.Waziri wa Habari,Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Simba nchini.
Waziri Mwakyembe ameonana na uongozi huo ofisi kwake mjini Dodoma,
Ukiongozwa na Rais wa klabu hiyo… Read More
TFF YAMFUNGIA HAJI MANARA KUISEMEA SIMBA KWA MIEZI 12 NA FAINI YA MILIONI 9.FAHAMU ZAIDI HAPA.
TFF YAMFUNGIA HAJI MANARA KUISEMEA SIMBA KWA MIEZI 12
*Pia ahukumiwa kulipa faini ya sh. milioni 9
Kamati ya Nidhamu ya TFF, imetangaza kumfungia miezi 12 Mkuu wa Idara
ya Habari ha klabu ya Simba SSC, ambaye pia ni msem… Read More
Serengeti Boys Yaipiga Gaboni 2 - 1, Serikali yatuma Salamu za Pongezi.Fahamu zaidi hapa.
Serikali imeipongeza Serengeti Boys kwa ushindi wa mabao 2-1 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Gabon.
Serengeti Boys wameifunga Gabon katika mechi iliyopigwa nchini Morocco
ambako timu hiyo imeweka kambi kujiandaa na mich… Read More
TFF Yaipokonya Simba Pointi 3 za Kagera Sugar.Fahamu zaidi hapa.
Hatimaye Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeipokonya pointi tatu
Simba SC, ilizokuwa imepewa kutoka kwa Klabu ya Kagera Sugar.
Awali, Simba ilikuwa i… Read More
TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA 23.4.2017.
TETESI ZA USAJILI MANCHESTER CITY 23.4.2017
Kocha
wa Manchester City Pep Guardiola anatarajiwa kupewa mzigo wa Pauni
milioni 250 kama pesa kwaajili ya Usajili kipindi dirisha la Usajili
litakapofunguliwa majira ya Joto… Read More
0 comments:
Post a Comment