Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO),limekanusha taarifa ya gazeti la 
Mwananchi iliyosema kuwa vifaa vya mitambo ya Kinyerezi hatarini kwa 
kuuzwa.Tanesco imekanusha taarifa hizo, kuwa si za kweli ni upotoshaji 
kwa umma huku shirika hilo likidai linaendele na ulipaji kodi.
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa














0 comments:
Post a Comment